Upinzani Washinda Malaysia

Chuma

JF-Expert Member
Dec 25, 2006
1,324
38
http://www.nytimes.com/2008/03/09/world/asia/09malaysia.html?hp
Wadau huu ni ushindi wa wa Muungano wa Vyama vya Upinzani huko Malaysia...
Hii ni nafasi kubwa wa Vyama vya Upinzani Hapa Tanzania kuweza kuleta Mabadiliko. Malaysia chama cha CCM cha huko kilichokuwa kinaongoza zaid ya miaka 50, leo kimeshindwa!!!

Viongozi wetu wa Upinzani kaeni chini mtulize MZUKA wenu, acheni Fitna, Majungu, Undumila kuwili, Kutumiwa na vyote vinavyodhoofisa Upinzani. Najua CCM ina think tank yao ya kuumaliza upinzani thru kuwanunua hasa viongozi., kuyumbisha kauli zao.

Nini Muhim tunajifunza kutoka huko Malaysia?
Vipi TUME ilikuwa Huru?
vipi Vyombo vya Dola vilikuwa Huru?
Vipi Katiba? Je inatoa upendeleo?
Vipi Reaction ya wananchi? wavumilivu au Magomvi?
na Mengineyo

Viongozi wa Upinzani yafaa kujifunza kutoka kila nchi ambayo upinzani umeshinda!!!
2010 si mbali kwa vyama vyenye Malengo ya Kuleta Mabadiliko
 
Malaysia's Governing Coalition Suffers a Setback

By THOMAS FULLER Published: March 9, 2008

KUALA LUMPUR, Malaysia - Malaysia's governing coalition, which has run this multiracial country without any major challenges for the past four decades, suffered a string of election defeats on Saturday, losing control of three major states and all but surrendering urban areas to the opposition.

Times Topics: MalaysiaResults early Sunday showed that the coalition of Prime Minister Abdullah Ahmad Badawi won 136 of 222 seats in Parliament, enough to be able to remain in power. But unexpectedly strong gains by opposition parties, which quadrupled their seats in Parliament, are likely to challenge the longstanding paternalistic practices of a government that controls the mainstream media, bans most street protests, bars students from taking part in politics and jails political opponents without trial.

Stripped of their long-held two-thirds majority in Parliament, the governing coalition will no longer be able to freely amend the Constitution, which it has done more than 40 times since independence from Britain in 1957. The opposition parties unseated several political veterans by fielding fresh but inexperienced candidates, including a political science professor, a popular blogger and a human rights advocate. Opposition candidates did especially well in urban areas, winning 10 of the 11 seats in Kuala Lumpur, the commercial capital, and capturing the relatively prosperous and populous states of Selangor and Penang. The opposition also made inroads into the rural heartland. The Pan-Islamic Party, one of the three main opposition parties, strengthened its control over the northern state of Kelantan and won control over the states of Kedah and Perak.

The leaders of the two ethnic Indians parties represented in the government also lost their seats, including the only ethnic Indian in the cabinet, Samy Vellu. Those losses call into question the future of the country's race-based coalition, a system in place since independence in which each major ethnic group - Malays, Chinese and Indians - is represented by a political party. Opposition leaders have vowed to move Malaysia away from the system, with the National Justice Party of Mr. Anwar the loudest proponent of the change. Mr. Anwar, who many see as a possible future prime minister, is barred from holding public office until April because of a conviction for abuse of power in a politically charged trial. But his wife and his daughter won seats in Parliament on Saturday..
 
Viongozi wetu wa Upinzani kaeni chini mtulize MZUKA wenu, acheni Fitna, Majungu, Undumila kuwili, Kutumiwa na vyote vinavyodhoofisa Upinzani. Najua CCM ina think tank yao ya kuumaliza upinzani thru kuwanunua hasa viongozi., kuyumbisha kauli zao.


Maneno mazito, yazingatiwe haya iwapo kweli tunataka mabadiliko, ya kweli na sisi wananchi Tanzania ni yetu, hatuwezi kutegema wengine watufanyie huko upinzani, it is about time sasa tukaingia wenyewe!
 
Kaka Chuma na wadau wengine.
Naomba nikwambie kitu kimoja. kuna tofauti kubwa sana kati ya siasa za Malaysia na Siasa za Tanzania.

Malaysia ni nchi yenye matabaka matatu:-
Malay (Bumi Putra) = 60%
Indians Malay = 23%
Chinese Malay = 17%

Kwao wamegawanyika kutokana na tabaka huku Mmalay anapewa kipaumbele then Mchinese na mwisho ni Muhindi.

Kilichotokea ni kwamba wahindi na wachinese waliamua kuachiana Majimbo na utaona mahali kama State ya Penang ambako ndio wachina wengi walipo wameshinda kwa asilimia kubwa na wahindi kushinda sehemu ambazo zina wahindi wengi.

Na sehemu hizo wachina waliwaachia wahindi ili kuongeza seats nyingi za Wahindi na Wachina bungeni.

Sasa utaona siasa hizi hazina tofauti na siasa za nchi kama Kenya ambako watu wanapiga kwa kuangalia ukabila zaidi.
 
Kaka Chuma na wadau wengine.
Naomba nikwambie kitu kimoja. kuna tofauti kubwa sana kati ya siasa za Malaysia na Siasa za Tanzania.

Malaysia ni nchi yenye matabaka matatu:-
Malay (Bumi Putra) = 60%
Indians Malay = 23%Chinese Malay = 17%

Kwao wamegawanyika kutokana na tabaka huku Mmalay anapewa kipaumbele then Mchinese na mwisho ni Muhindi.

Kilichotokea ni kwamba wahindi na wachinese waliamua kuachiana Majimbo na utaona mahali kama State ya Penang ambako ndio wachina wengi walipo wameshinda kwa asilimia kubwa na wahindi kushinda sehemu ambazo zina wahindi wengi.

Na sehemu hizo wachina waliwaachia wahindi ili kuongeza seats nyingi za Wahindi na Wachina bungeni.

Sasa utaona siasa hizi hazina tofauti na siasa za nchi kama Kenya ambako watu wanapiga kwa kuangalia ukabila zaidi.
Detail za Wahindi zina kasoro hapo juu...
 
Sasa Robert Mugabe atakimbilia wapi maana ndiko alikokuwa amewekeza. Naona uchaguzi wa Zimbabwe mwisho wa mwezi utakuwa wa ubabe zaidi.
 
Pope,
Shukran mkuu kwa taarifa hizo lakini siwezi kutoa comment zangu ikiwa uchaguzi huu utakuwa na madhara Maleysia zaidi ya mafanikio tofauti kabisa na lengo la nchi yetu.
Mkuu tumwagiue habari zaidi..
 
Pope
nakubaliana nawe ila nukta moja muhim,
Hoja yangu msingi ni kuwa Kuna vyama vya upinzani, na last time walikuwa wanavit 20 out 222, now Upinzani wana 82 seats, so chama cha NF(national front) kimekosa 2/3 majority so Bunge halitokuwa tayari kupitisha vitu vya HovyoHovyo kama Hapa Tanzania.

Kwa miaka 50 hizo tofauti zao zilikuwepo sana tu, still leo wameweza kufanya hayo mabadiliko. Kimsingi nasi yapasa kujifunza machache kutoka huko, mengine tukajifunza from ANC, mingine Kenya..mengine somewhere else...then tukaweza kuyachukua yale tu ambayo yanawezekana hapa nyumbani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom