Upinzani waonesha wizi wa Tsh Trilioni 2.4 toka ripoti ya CAG na ulaghai wa kamati ya PAC iliyopangwa na Ndugai kuficha ukweli

Kweli Pesa Sabuni ya Roho ,hakuna cha Raisi wa Wanyonge wala cha Mzalendo.Mnatufilisi kila Siku na kutuacha Masikini huku mkojichotea tu wenyewe kama Pombe ya Togwa ..
Wamekusanya mitaji yetu mtaani na kutuacha juu ya mawe ebu angalia wanavyo ichezea mitaji yetu waliotupola poa tu chezeeni kumbuka mnakula mbegu.
 
Kwenye billon 300 za escrow tulishuhudia mlolongo wa wanufaika mpaka viongozi kadhaa wa dini na kelele zake dunia nzima
Leo hizi tirion 2.4 kweli kelele zenyewe ziwe hivi
na kimya tena zama hizi
Hii ni furahisha tonge tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu wizi na ufisadi wa mtu na mjombaake lazima ufike Bretton Woods, iwe well compiled na itumwe pia kwa Mabeberu wanaifadhili na kuipa misaada serikali ya CCM.
 
Kwenye billon 300 za escrow tulishuhudia mlolongo wa wanufaika mpaka viongozi kadhaa wa dini na kelele zake dunia nzima
Leo hizi tirion 2.4 kweli kelele zenyewe ziwe hivi
na kimya tena zama hizi
Hii ni furahisha tonge tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jamaa ni mpigaji, so alijiandalia ulinzi kwa kutunga sheria mbaya ili kufunga watu midomo, matokeo yake ndio haya kila mtu anaogopa kuhoji, kusema maana serikali hii usipoenda jela kwa kuhoji juu ya ufisadi kama huu basi utatekwa na kupotezwa.
 
Back
Top Bottom