justin mwanshinga
Senior Member
- May 22, 2014
- 179
- 621
Jamani me naomba kuuliza .
1.uwepo wa upinzani nchni unazuia ccm kutotimiza ilani yao ?
2. UKAWA inazuia ccm kujenga barabara.
3.nadharia eti chadema ya ukanda na ukabila ina uhusiano gani na kutowatimizia wananch ahadi zao .
4. Kwa nini viwanda vyote vya umma vimekufa na kubinafsishwa.
5.kama shule za kata ni bora kwa nini watoto wa vigogo hawasomi.
6. Kama hospital zetu ni bora mbona watoto wa vigogo na wazazi wao hawatibiwi hapa ?
Je ! Mmeisoma rasimu ya pili ya katiba na ile ya zamani , isome afu utajua kwa nn CCM hawaitaki rasimu ya Warioba.
Mwanshinga Jr