Upinzani, wanaharakati; hamjahodhi ujuaji na Uhuru wa Kujieleza

Suphian Juma

Senior Member
Apr 2, 2019
133
546
UPINZANI, WANAHARAKATI; HAMJAHODHI UJUAJI NA UHURU WA KUJIELEZA

Katika maisha ya binadamu, moja ya haki ya msingi kabisa ya kiasili "natural right" ni kumpa binadamu uhuru wa kusema mbele ya mwenzake. Uhuru huu huitwa Uhuru wa Kujieleza, na huwa sio msaada bali kila mtu anastahili kuupata kwa mujibu wa Katiba yetu ya Tanzania mwaka 1977, Ibara ya 18.

Leo nimeona ni vyema tukajadili kuhusu uhuru huu wa Kujieleza kwa tafsiri ya Katiba na kwa kulingana na muktadha au mazingira yetu ya muda sasa ya kisiasa. Kilichokisukuma zaidi kuleta mada hii ni upotoshwaji wa kitafsiri wa makusudi wa "Uhuru wa Kujieleza" ambao unaendelea kufanywa na baadhi ya viongozi, wanachama na wafuasi wa vyama vya Upinzani wakishirikiana na Wanaharakati nchini hususani katika mitandao ya kijamii.

KWANZA IELEWEKE UHURU WA KUJIELEZA SIO;

Mwenye wazo tofauti na la kwako ni adui yako

Ukimtetea Rais/Serikali unatafuta Uteuzi au unajipendekeza

Ukiwa Upinzani/Mwanaharakati wewe ndiye mwenye nchi pekee.

Kuhamia CCM kutoka Upinzani ni Usaliti ila Kutoka CCM kwenda Upinzani ni ukamanda

Kuwa Upinzani/Mwanaharakati ni kumiliki ukweli na Kuwa CCM ni kumiliki uwongo.

Kuwa Upinzani/Mwanaharakati ni mtoto wa Mungu, ila kuwa CCM ni kuwa mtoto wa Shetani

Kujiona wa gharama zaidi kisa upo Upinzani

Kutumia vitisho, kejeli, matusi ma majina yanayotweza Ubinadam wa mwenzako.

BALI UHURU WA KUJIELEZA NI;

Kupishana hoja kwa hoja kwa Staha bila kutumia lugha za fedheha

Kuwa CCM ama Upinzani ama Mwanaharakati wote ni binadamu sawa, sio maadui.

Kila mtu kuwa na haki ya kutetea upande wake ama Chama chake kwa jambo lolote muda wowote

Kushirikiana mambo ya kibinadamu kama Musiba, kusali, harusi, kucheza bao, kwenda Club pamoja licha ya kupishana maoni ama vyama vya siasa.

Kuheshimu Utu wa mwenye wazo tofauti na lako, yaani sio ushindwe hoja umwite mwenzako Shoga, Malaya, Gaidi n.k

Kuamini kwenye vyama/upande tofauti na wa kwako kuna wanaojua mambo kama wewe na pia wapo wanaokuzidi elimu ya mambo mbalimbali kwenye mijadala zaidi yako.

Wapinzani na Wanaharakati wengi nchini, ukiwafuatilia mtandaoni wanapambana mno kuuambia umma wa Watanzania kwamba wao ndio wanaohodhi ukweli, kila wakisemacho wao basi ni sahihi, na maoni yoyote kutoka kwa Viongozi, wanachama na wafuasi wa Chama cha Mapinduzi, Serikali ama dola kwa ujumla basi ni batili. TOO WRONG, huo sio Uhuru wa Kujieleza bali UPOTOSHAJI.

Yaani imefika pahala Wapinzani na Wanaharakati wanajivika uzao wa malaika wema, na kuwavika wana CCM uzao wa Shetani, kwamba wao ni watakatifu sana, wameshuka kutoka peponi, na kwamba wanachama wote wa CCM ama viongozi wa Serikali ni zao la Jehanam.. huu sio Uhuru wa Kujieleza, ni chuki iliyochanyikana na ujinga wa kiwango cha juu.

Imefika pahala vijana na hata viongozi mfano wa Chama cha CHADEMA mathalani ukisoma Tweets zao za kila siku, watahangaika kujipa umuhimu mbele ya Watanzania kwamba wao ndio wamiliki halali wa Tanzania, kwamba CCM ni wakimbizi tu wamekuja kuwatawala, na kana kwamba wao ndio Chama cha Ukombozi kinachotafuta uhalali wa kupewa nchi yao... Upuuzi grade A+. That's highly madness.

Hawahawa ndio vinara wa kutengeneza matatizo, na wakidhibitiwa kwa mujibu wa Sheria, wanakuwa wa kwanza kulalama kwamba wameonewa. Kwa utafiti wangu usio rasmi, zaidi ya 80% ya matatizo ya kisiasa wanayotangaza CHADEMA kwamba wanaonewa na Serikali, si kweli bali wao huyabuni, huyasababisha na hujatekeleza "Sirini" na kutangaza chanzo ni Serikali ilmradi kuitia doa CCM na Serikali yake, na kutafuta huruma ya wananchi ili angalau wapate tiketi ya kuingia Ikulu. CHILDISH!!

Imagine, Chama cha Siasa kinakosa haya na aibu hadi kinafikia hatua ya kuchoma ofisi zake, kudhuru wanachama wake, kuharibu mali za umma, na hata kutoa taarifa potofu mbali mbali za viongozi wa Serikali hadharani tu lengo kukipaka matope Chama cha Mapinduzi na Serikali yake ikiwemo Rais aliyopo madarakani. Huu ni uhuni typical, hiki kwanini kisiitwe CHAMA CHA MAGAIDI (CHACHAMA)?

Hivi mlishawahi kujiuliza kwanini kila tatizo la kisiasa linawakumbuka Wapinzani hasahasa CHADEMA hususani kuanzia mwaka 2015? Si wanawake wao wa BAWACHA, sio BAVICHA na hata hao viongozi wao? Why wanyanyaswe wao kutwa na kucha na sio ACT wazalendo, CHAUMA, CUF, NCCR Mageuzi? Who are they by the way? Fuatilieni matukio vizuri mtaungana nami kwamba wao hutengeneza matatizo yao kutafuta maslahi yao binafsi ya kisiasa kwa kichaka cha kutetea wananchi. PRIMITIVE POLITICS!!

Maana ya uwepo wa Vyama vya Siasa na hao Wanaharakati sio kutengeneza matatizo, basi kuleta suluhu mbadala wa matatizo ambayo tayari yameshajitokeza ama yanaweza kutokea kwenye jamii. Kwetu ni tofauti, Upinzani na Wanaharakati kazi yao kuangalia Rais ameongea amekosea wapi, wakikosa wanaumia, watalazimisha pawepo kosa. Utasikia Rais hawezi kupiga picha amekaa kushoto mwa Mlinzi wake, mara ooh ameongea kidogo UN, yaani hata akivaa suti nyeusi watasema mbona hajavaa nyeupe daah haha ha ha TOO IRRITATING!!

Mara "ooh Rais amehutubia Taifa siku ya uhuru kwa hotuba mbovu mno" kisa tu hajataja "Katiba Mpya"... Khaa guys Taifa letu ni kubwa zaidi ya Katiba Mpya, mahitaji ya wananchi ya kwanza ni kuboreshewa Uchumi wao kwanza kabla ya Katiba Mpya, hivyo Rais hawezi akawa anaimba agenda yenu kila hotuba yake, kwani kwa kuwaheshimu alishawajibu muwe na Subra. BE HUMBLE!!

Suphian au Mwanachama yeyote wa CCM asipongeze au asi-post taarifa au mafanikio ya Kiongozi wa Serikali kama Rais au shughuli za Chama cha Mapinduzi, watakuja kama nyuki kwamba "UNATAFUTA UTEUZI" tena na wanahitimisha kwamba "na UTEUZI HUPATI" as if wao ndio Mamlaka ya Uteuzi khaa wana vituko hawa viumbe!! Mbona sisi CCM tunawaona wanapiga kelele kulala, kucha kwamba Mbowe sio gaidi hatuwaambii kwamba wanatafuta uteuzi kwake ama kwa CHADEMA??

Overall UTEUZI sio dhambi, ni suala la Baraka maana wateuliwa hawaendi kuwa wauaji au majambazi bali watumishi wa umma ikiwemo kuhudumia wao na familia zao kama Watanzania, iweje waone ni kama suala la kishetani? Hii tabia ya hawa watu inathibitisha kwao hawafanyi siasa bila fadhila wanayoiita "uteuzi", na pia ni dhahiri hawa wajaa khusda huongozwa na wivu na chuki tu kwamba raha yao yeyote wa CCM usipate uteuzi, yaani kiufupi furaha yao wakuone unateseka ukihamia CCM.

Comrade Kigogo juzi tu walikuwa wanamwona Mungu mtu alipokuwa anasapoti harakati zao Upinzani, leo hii amehamia CCM kutwa kumwita majina yote mabaya, kawa Shetani ORIGINAL.... Halafu hao hao mtandaoni na majukwaani utawasikia "tunapigania Demokrasia, Uhuru wa Kujieleza na Haki za Binadamu", guys logic ya haya mambo matatu ni zaidi ya kesi ya Mbowe na kufanya Mikutano ya hadhara. JITAFUTENI MMEPOTEA!!

Mtu unajiuliza mbona wakati nipo kwao Upinzani/Uanaharakati mbona niliwapigania sana na nikajitoa kwa hali na mali na hata kuhatarisha maisha yangu kwa vyama vyama vyao vyote na agenda zao ila hata kuchagia hela ya bando au Lita moja ya mafuta ya gari wakati nagombea Ubunge mbona hawakutoa? Leo hii nimehamia CCM ndio wanajipa umuhimu katika maisha yangu ya siasa ili iweje kama sio UNAFIKI na UCHAWI kasoro kuruka na ungo Usiku? Guys Uteuzi sio tusi, Mamlaka za Uteuzi ndio zinajua nani wapi na lini watateua. GROW UP!!

Inashangaza Upinzani hadi viongozi wenye nafasi na majina makubwa tu tunaowaona wanahubiri Demokrasia na Utii wa Sheria na Katiba ndio vinara wa kuona "kuhamia CCM ni Usaliti, yaani na ni kosa kubwa kushinda kuvunjwa amri ya 6 ilivyoandikwa kwenye Bibilia. Imagine mwaka jana Desemba 31, 2020 nilipohamia CCM tu siku inayofuata from no where viongozi wawili wa juu kabisa wa vyama vikuu (Top 2) vya Upinzani wakani-BLOCK kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii hadi leo hii naandika makala haya.

Tena mmoja ni wa cheo cha juu zaidi katika Chama chake na mwingine kama angemshinda kura Mgombea urais wa CCM Hayati Magufuli Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 leo hii angekuwa Rais wa Tanzania. Sasa tafakarini, hawa kama kuhama Chama tu ambayo ni haki ya kila Mtanzania kwa mujibu wa Sheria na Katiba yetu, wao wanaona ni jinai na kukublock mtandaoni, je wakiishika Ikulu na vyombo vya dola, si wanachama wote wa vyama tofauti na vyao watawachoma petroli kama wezi wa mbuzi mchana kweupe? Nasema hili ili Upinzani tena viongozi waache kuona siasa ni Vita ya kufa na kupona kama ilivyokuwa ya Majimaji au Vita vya kwanza na Pili vya Dunia. WAWE VIOO HALISI VYA KUIGWA!!

Kituko kingine cha Upinzani na Wanaharakati wa Tanzania ni kujiona wao ndio wajuaji wa kila kitu "MUCH KNOW", yaani utatoa hoja yako mtandaoni bila hata kujibiwa kwa hoja mbadala utashangaa Mwanachama wa Upinzani au hata Kiongozi bila kutafakari anavamia post yako na kioja cha hoja. Yaani wanajiona Class A katika mizani ya akili, sasa katika mijadala utajadilije na mwenzako wa itikadi tofauti kwa kutanguliza kwamba wewe ndio genius kupata kutokea duniani? NONSENSE!!

Wewe Unafanya ushawishi (Lobbying and Advocacy) ya agenda yako ya Katiba Mpya kwa Serikali halafu hapohapo Rais ambaye ni Mkuu wa Serikali unamwita Dikteta, mara umtishe kwamba kiti cha urais kinampwaya, yaani unafungua na "Space" huko Twitter kama kijiwe cha kumnanga, kumzodoa, kumkejeli na kumdhalilisha kila uchwao, hivi hata kama ungekuwa wewe ungemsikiliza mtu/kikundi cha sampuli hii? BEHAVE FIRST BEFORE YOU LOBBY!!

Halafu kioja kingine cha Upinzani na Wanaharakati ni walimu wa matusi, kejeli, udhalilishaji na unyanyasaji wa kijinsia. Kuwa Mwanachama, Kiongozi au mfuasi wa CCM, Serikali au mihimili mengine kama Bunge, toa hoja yoyote, hoja yako itaachwa utaambulia matusi yote; shoga, Msaliti, mjinga, Malaya, punguani n.k yaani kisa tu labda umesema ukweli kwa mfano "Rais Samia ni tumaini kwa Watanzania, katika nusu mwaka wake Ikulu ameajiri, ameboresha Mahusiano ya Kimataifa, uchumi wa wananchi umeanza kustawi kwa kasi..." Kwanini usinipinge kwa hoja bila matusi? Oooooops!!

Yaani kama CHADEMA naweza wao ndio wameharibu maantiki ya UWEPO na USTAARABU wa Siasa za Upinzani nchini. Mwaka 2020 niligombea Ubunge Singida Magharibi kwa tiketi ya ACT wazalendo, imagine vijijini kila nikienda wananchi walisema "nyie Upinzani (wakirejea CHADEMA) mnapenda matusi, na siasa za uadui hatuwataki tunataka CCM ambayo ina watu wastaarabu". Kwakuwa hulka yangu ni STAHA, hata siasa zangu jukwaani na nyuma ya pazia nilizungumza kwa Staha, bila kutishana wala kumdhalilisha Mgombea mwenzangu yeyote, walishangaa sana, na kunipenda sana, jambo ambalo hadi leo nikipita huko jimboni naheshimika kwa SIASA SAFI. WAJISAHIHISHE!!

Dear Upinzani na Wanaharakati badilikeni, hii nchi ni yetu sote, acheni kujiona wajuaji kuliko wengine wala kujivika umiliki wa uhuru wa Kujieleza, kila mtu ama Taasisi au kundi lina haki sawa kwa mujibu wa Sheria, otherwise hasahasa tunazidi kuwaona mpo DESPERATE, mnatia huruma, mnahangaika kuwapaka matope walio juu yenu kupata madaraka. Mnajipukutishia hadhi wenyewe ya kuongoza Taifa la Tanzania linalohitaji watu wastaarabu, wahamasishaji wa Umoja, amani na upendo.

Wapinzani na Wanaharakati kuweni wavumilivu katika maoni tofauti na yenu, eleweni kama ambavyo mnaona haki kwenu kukosoa, kushauri ama kuanzisha agenda; vivo hivyo ni haki na ni uhuru wa watu au makundi ambayo mnatofautiana nanyi kimtizamo ama kiitikadi. Huu ndio Uhuru wa Kujieleza halisi sio huo uhuru wa Kujieleza "uchwara" mnaouhubiri na kuutenda ukibeba upande mmoja wa Shilingi.

Kwa taarifa yenu tambueni mimi Suphian au sisi wa upande wa CCM kama hamtajisahihisha na kutambua sio nyie Wapinzani na Wanaharakati ama sisi CCM wanaohodhi UJUAJI na UHURU WA KUJIELEZA, tutaendelea kuwapuuza na matusi yenu na vioja vyenu, na kwa kuwasaidia tu kuwaambia kama hamtabadilika hakuna wananchi wenye akili zao ambao watapenda kuongozwa na viumbe wa dizaini yenu, mtaishia kuwa "wapiga kelele tu".

N:B Sina chuki na Wapinzani wala Wanaharakati, na wala sijawahi na sitofanya siasa za uadui. Shahidi ni mienendo yangu kwa mitandao ya kijamii... licha ya matusi mengi na kesho ila muda wote nimesimama na STAHA STAHA na wala SIBLOCK YEYOTE MLI MJIFUNZE. MWENYE KUJIFUNZA ATANISHUKURU HATA BAADAE.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

Suphian Juma,
Desemba 10, 2021
Dar es Salaam
Simu: 0717027973
Email: yessuphian@gmail.com

IMG_20211209_083402.jpg
 
View attachment 2039256
Waambie Kigogo na Musiba waliokuita "naniliu," si upo nao huko CCM? 😡
 
Wewe ishu yako ilishamalizwa na Msemaji wa Serikali kuwa wewe ni Kabwili. Hatuna muda mchafu na watu wa jinsia yako.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Una jina la kiume halafu unafanyiwa mambo ya kike unategemea uandike zaidi ya hiki?
 
Back
Top Bottom