MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,612
- 21,346
Wabunge wa upinzani wamesema hawatavumilia kuona vitendo vya utekaji na ukatili vinavyoshamiri nchini
Nadhani hasa ukiangalia hiyo mikono ya mama yakekwani huyo mtoto wa tz?
Upo wew misskwani huyo mtoto wa tz?
nipo mkuu za kwakoUpo wew miss
Poa nimefurah kuona uwepo wako !nipo mkuu za kwako
Wazir ajiuzuru kwa sababu ipi?Wabunge wa upinzani wamesema hawatavumilia kuona vitendo vya utekaji na ukatili vinavyoshamiri nchiniView attachment 504148
Naona ana rainbow usoniDaah ni sawa na kumtaka waziri ummyView attachment 504199 ajiuzulu kisa huyu
Mleta uzi haelewekiAliyeelewa anieleweshe
kumsuka mtoto mdogo hivyo rasta sio sawaMleta uzi haeleweki
Sema hiyo picha inamengi ya kujifunza hebu toa neno kidogo Hapo
Kweli mkuu sema mleta mada sijui kamwingizaje mwigulu na wapinzani hapakumsuka mtoto mdogo hivyo rasta sio sawa
Kweli mkuu sema mleta mada sijui kamwingizaje mwigulu na wapinzani hapa