Upinzani wakipewa jukumu la kuunda tume ya uchaguzi

Lutsala

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
547
223
Asalaam!! Kumekuwa na mjadala juu ya tume huru ya uchaguz, hasa shida ni namna gani ipatikane jambo hili Lina shida kidogo maana kuteuliwa na Rais hakukwepeki, sasa najiuliza vyama vya upinzani vikipewa jukumu la kuunda tume hiyo ITAKUWA HURU?
 
Back
Top Bottom