Upinzani waangukia pua mahakama ya Afrika Mashariki

Yaani ufanyayo hapa ni sawa na mtu aliyetoka bafu la uswahilini (passport size) kisha taulo likadondoka akainama kuliokota.
Wakudadavuwa kumbuka kuna walio simama nyuma yako wanaona nini?
Chadema nzima mnashindwa kupampana na hoja mnakimbilia kuhisia ''huyu ni fulani?'' pathetic!
 
Chadema nzima mnashindwa kupampana na hoja mnakimbilia kuhisia ''huyu ni fulani?'' pathetic!
Uma hoja gani wewe? Kama ungekuwa na hoja za maana watu wasingehangaika na real ID yako, lakini kwa vile unaleta hoja za kijinga kila siku watu wametafuta huyu ni nani na bahati mbaya na kwa majonzi makubwa wamegundua "rubbish" hizi zatoka kwa nani.
Ni mweupe sana kichwani kwako!
 
Back
Top Bottom