kamtesh
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,395
- 512
Mnachopigania ni kitu gani? Wajua kuna ile busara ya kuzaliwa nayo, unaona kabisa uwezo wangu wakushinda Urais hapa sina unapiga porojo tu kusumbua watu. Mnajua mwaka huu fulani anaungwa mkono na Wananchi wengi, sote tumuunge mkono, waapi? Ndo kwanza mwingine anamletea pinganizi mwenzio.
Kuna msemu tunasema Wapinzani wa Afrika kwa ubinafsi wao wanshindwa chaguzi na watu wengi na Vyama Tawala vinashinda na watu wachache. Huu ni upumbavu wa hali ya juu.
Mlishaambiwa CCM lazima itumie dola kubaki madarakani na Polepole alishawahi sema wakati ule anabwabwaja vizuri kuhusu katiba mpya, kwamba," Uchaguzi ukiwa Hutu na haki, CCM wajiandae kukabidhi Ikulu." Sasa yeye Poleple kajiunga nao, na anajua, CCM haiwezi shinda kwa haki. Kwahiyo suluhisho pekee nikutafuta kura za mgombea mmoja za Tsunami ili washindwe hata kuiba.
Hebu wapinzani mtafakari sana mnacho kitaka vingenevyo CCM itaendelea kuwasajiri na kuwagawa ili mzidi kugawanyika. Kwa asilimia kubwa, vyama tawala vilitolea madarakani na muungano au ushirikiano. Fanyeni maamuzi sasa mengine ya fwate badae.
Ukiona mpizana analeta upinzani kwa mpizani mwenzake,panashida hapo. Wote mmesota na ccm kwa miaka 5, halo sio hali, leo tena unalata upinzani kwa mpizani mwenzio. Hiyo ni furaha kwa CCM. Yaani mpo vitani munapigana na adui, halafu ghafla munaanza kupigana wenyewe munamuacha adui. Munafikiri wananchi wanawaelewa vipi?
Sheria ya vipengele vingi kuhusu kuungana kweni wapinzani ilipitishwa na ccm kwa maksudi na ilikua kwa kuua upinzani na kwa vile aliyopo madarakani aliona nguvu ya UKAWA, akaona asipowaparakanisha, atakuja pata taabu sana 2020. Ebu upinzani mujitafakali sana, musitusumbue die wananchi kama hamna nia yakushika dola.
Mfano TLP kina mgombea lakini mwenyekiti wake anaunga mkono Magufuli, sio kwasababu anampenda, hapana, nikwasababu yeye Mrema ni mnufaika, alipewa uwenyeki wa Paroli.
Sitashangaa kuona baada ya uchaguzi wapinzani ushwara wakiteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali kama ahsante kwa kuvuruga upinzani. Ni usaliti mmbaya sana kwa wananchi.
Malawi wameshinda kwa kuungana, Moi na KANU walitolewa kwa kuungana. Tofauti zenu wekeni pembeni kama kweli munadhamira ya dhati ya kuikomboa Tanzania kwa wakoloni weusi jameni.
Watu wamekufa, nakupotezwa na kuumizwa kwasababu ya kudai haki na Uhuru wa kweli. Sasa kazi nikwenu bado Sikh 24. Mukikosea hapa musije mukaja tena mtaani kutwambia upuuzi wenu wakupambana na CCM. GOD WILL PUNISH YOU