Upinzani wa kisiasa umekwisha/pungua?

Tall

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,425
165
Wakati vyama vingi vinaanza,hali ni tofauti na sasa,wapo wanaosema sasa upinzani umepamba moto na muda si mrefu CCM itashindwa, lakini pia wapo wanaosema hakuna tena wapinzani, wapinzani wote ni wasanii na wanaganga njaa tu, hayo ni mawazo na maneno binafsi ya watu. Je unakunbuka enzi zile za mrema?Cheyo? Seif?Mapalala? nadhani hali imebadilika, unadhani kwa nini? nini mawazo yenu?
 
Back
Top Bottom