Upinzani wa kisiasa umekwisha/pungua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upinzani wa kisiasa umekwisha/pungua?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tall, Mar 10, 2010.

 1. T

  Tall JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Wakati vyama vingi vinaanza,hali ni tofauti na sasa,wapo wanaosema sasa upinzani umepamba moto na muda si mrefu CCM itashindwa, lakini pia wapo wanaosema hakuna tena wapinzani, wapinzani wote ni wasanii na wanaganga njaa tu, hayo ni mawazo na maneno binafsi ya watu. Je unakunbuka enzi zile za mrema?Cheyo? Seif?Mapalala? nadhani hali imebadilika, unadhani kwa nini? nini mawazo yenu?
   
Loading...