Upinzani unashindwa kuaminika kwa mambo ya kijinga kama mabango ya USA ziara ya Rais Samia

Hawawezi kuchafua royal tour na hizi ni issues tu kama ambavyo kila nchi Ina issues zake...

Hapo sijaona Jipya; dunia nzima inajua Tundu Lissu alipigwa risasi, katiba mpya Wala sio issue mpya, suala la wamasai Ngorongoro nalo sio jipya..

Nachokiona mimi ni sijui kukosa adabu, sijui kukosa uzalendo??? Hata sijui...

Why take domestic issues outside when there is room and readiness to talk them here?

Haya ndio makubaliano waliyofikia na Mbowe?

I thought there would be respect and domestic issues would remain domestic...
Lengo lilikuwa nini?

Kweli upinzani has to choose either to be trusted or not?
Kwanini waende kufulia nguo chafu za ndani huko kwa majirani while the process and the talks were ongoing here?

Ni kwenye mambo kama haya unaweza justify attitude na approach ya Magufuli!

We should be making headlines for the right reasons...now what is this?
You decide to spoil the coverage that has taken efforts and investment...

Ndio siasa za upinzani?
Sabotaging your own country?

'katiba mpya sasa' ni slogan iliyozinduliwa na Mnyika...now don't tell me imetokea coincidence watu wamejikuta wamevaa sare halafu wanachant slogan ya Chadema..all by coincidence!
Bure kabisa wewe na you exposed yourself jinsi ulivyo mtupu, acha watu waongee na acha ushamba
 
Issue iko hivi, lengo la mama la royal tour kuonekana dunia nzima ni Ili kupata watalii wengi zaidi..
Haya; Lengo la mabango yenu kuonekana dunia nzima ni nini?

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Lengo la mabango ni kufikisha ujumbe kwa serikali na kuifahamisha dunia malalamiko yetu at least dunia ijue ya CCM inavyolalamikiwa na Watanzania.
Ni uzuzu kulaumu kwanini hayo yamefanyikia USA, ulitegemea kwa mtu anayeishi US maandamano afanyie wapi?
Kitu chanya ni kuwa ujumbe umefika na dunia imehabarishwa.
 
Back
Top Bottom