Upinzani umeufyata, wamachinga bado kujitambua lakini silaha hii KAMWE hawatakwepa!

Wapinzani nao ni binadamu wanatetea watu ambao hawajitambui na hawapati support yoyote kutoka kwa watetewa, bora wakae kimya.
Kweli nchi hii watu hawajitambui wako wametulia tu wanataka wengine wawapiganie kwa jasho na kumwaga damu na hata vifo lakini wao wanapata viyoyozi tu maofisini, lakini wakiambiwa tukapigania haki wanasema siyo wanasiasa ila matunda ya haki hizo wanataka kula! Aibu sana hii
 
Wapinzani wakae pembeni kabisa, CCM iharibu inavyotaka hakuna namna.
 
Mimi nawashangaa watu wanalia "ooh upinzani,ooh upinzani" unasubir upinzani wakulainishie!wapinzani ni watu kama wewe,unachukua hatua gani zaidi ya kulalamikia wenzio?
 
Kweli nchi hii watu hawajitambui wako wametulia tu wanataka wengine wawapiganie kwa jasho na kumwaga damu na hata vifo lakini wao wanapata viyoyozi tu maofisini, lakini wakiambiwa tukapigania haki wanasema siyo wanasiasa ila matunda ya haki hizo wanataka kula! Aibu sana hii

Huwa nashangaa sana mtu anakuja hapa jukwaani analeta porojo ndefu eti wapinzani wabadili mbinu, ukimuuliza ni mbinu gani hana hata moja. Lakini ukichunguza sana anataka watu wajitokeze barabarani kuandamana. Wakati huo yeye mwenyewe unakuta ana bonge la kitambi na hata akisikia mlio wa baruti za vijana wadogo kusherehekea mwaka mpya, hadhubutu kwenda chooni, tena choo chenyewe ni cha master bedroom. Kisha anataka watu wakawakilishe mawazo yake. Mtu anayeona wapinzani hawana mbinu aanzishe chama aingie kwenye siasa kwa hizo mbinu anazodhani ni bora zaidi.
 
Huwa nashangaa sana mtu anakuja hapa jukwaani analeta porojo ndefu eti wapinzani wabadili mbinu, ukimuuliza ni mbinu gani hana hata moja. Lakini ukichunguza sana anataka watu wajitokeze barabarani kuandamana. Wakati huo yeye mwenyewe unakuta ana bonge la kitambi na hata akisikia mlio wa baruti za vijana wadogo kusherehekea mwaka mpya, hadhubutu kwenye chooni, tena choo chenyewe ni cha master bedroom. Kisha anataka watu wakawakilishe mawazo yake. Mtu anayeona wapinzani hawana mbinu aanzishe chama aingie kwenye siasa kwa hizo mbinu anazodhani ni bora zaidi.
Well said
 
Back
Top Bottom