Upinzani ulikuwa wa Dr. Slaa, huu wa sasa maigizo tu.

Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
24,884
33,401
Enzi zile hungeweza kumuona Dr. Slaa amebeba umbea kutoka kwa watu aina ya Kigogo kisha anapost Twitter.

Yeye alikuwa Anabeba mafile yenye data za kimaandishi na alikuwa anaenda kuwagawia hadi waandishi wa Habari hizo data zake. Alikuwa anakuja na nondo mpaka system inatetemeka.
Najua mtasema enzi zile kulikuwa na uhuru sijui wa takataka gani, ni kwamba wale waliwahi kupigwa hadi bomu kule Arusha.

Fikiria mtu kama Mashinji ambae tulitegemea awe ana chokonoa madudu ya selikali au kupika hoja za kimbdala wa ccm eti na yeye yuko kimyaa lakini kwenye udaku wa kigogo akaibuka?

Eti na yeye Fatuma Karume anawafuasi wake huko Twitter akawaambia tungefanyaje kama si kigogo
Hapa ndio nikasema sasa uanaharakati wake kumbe anasombwa hata na mafuriko ya kigogo?
Kiukweli wasomi na wapinzani wa Tz ni kichefu chefu sana.
 
Hahaaa upinzani walishapanga kabisa safu ya madaraka

Mara paa mkeka ukachanika

Watu kama kina Fatma karume walishajua hawatakosa ujaji mkuu

Wengine walishaaanza kuwaza uwaziri
 
Enzi zile hungeweza kumuona Dr. Slaa amebeba umbea kutoka kwa watu aina ya Kigogo kisha anapost Twitter.

Yeye alikuwa Anabeba mafile yenye data za kimaandishi na alikuwa anaenda kuwagawia hadi waandishi wa Habari hizo data zake. Alikuwa anakuja na nondo mpaka system inatetemeka.
Najua mtasema enzi zile kulikuwa na uhuru sijui wa takataka gani, ni kwamba wale waliwahi kupigwa hadi bomu kule Arusha.

Fikiria mtu kama Mashinji ambae tulitegemea awe ana chokonoa madudu ya selikali au kupika hoja za kimbdala wa ccm eti na yeye yuko kimyaa lakini kwenye udaku wa kigogo akaibuka?

Eti na yeye Fatuma Karume anawafuasi wake huko Twitter akawaambia tungefanyaje kama si kigogo
Hapa ndio nikasema sasa uanaharakati wake kumbe anasombwa hata na mafuriko ya kigogo?
Kiukweli wasomi na wapinzani wa Tz ni kichefu chefu sana.
Sasa hivi hizo data utazimea wapi. Ukisema tu unakamatwa na kufungwa kwemye kiroba. Slaa amshukuru jk mtu wa watu aliyekuwa anataka watu wasema. Sasa hivi kusema Ni uhaini anayeruhusiwa kusema Ni ccm tu. Sasa kwa vile mnatunyamazisha kwa nguvu za dola ngoja tuwaombee mfe wote. Jpm angekufa ningekutwanga wa Kwanza kushangilia ili nchi irudi swali kama zamani. Watumishi wapandishiwe mishahala na wanafunzi wanaomaliza wapate ajira na siyo kama mateso wanayoyapata awamu hii ambapo stiglar imesabstitue maisha ya watu wanyonge
 
Upinzani siyo chama au mtu, au kundi bali
ni mawazo na fikra mbadala zinazotoa changamoto chanya kwa watawala,
Upinzani wa Tanzania bahati mbaya umeambatana na ajenda nyingine nyingi za siri, (Upinzani wa nchi nyingi za kiafrika)
Lakin kwa sasa upinzani tuliouzoea Umekufa, simaanishi wa CHADEMA au CUF , nasema hata upinzani wa maana hauna nafasi ndani ya serikali ya Magufuli kwakuwa hawako huru kufanya na kusema lolote, maana katika kuudhibiti mfumo wa upinzani usiokuwa na mema Kwa Taifa yeye kapiga pin hadi upinzani mzuri wa ndani ya Chama na nje ya Chama,

Britannica
 
Sasa hivi hizo data utazimea wapi. Ukisema tu unakamatwa na kufungwa kwemye kiroba. Slaa amshukuru jk mtu wa watu aliyekuwa anataka watu wasema. Sasa hivi kusema Ni uhaini anayeruhusiwa kusema Ni ccm tu. Sasa kwa vile mnatunyamazisha kwa nguvu za dola ngoja tuwaombee mfe wote. Jpm angekufa ningekutwanga wa Kwanza kushangilia ili nchi irudi swali kama zamani. Watumishi wapandishiwe mishahala na wanafunzi wanaomaliza wapate ajira na siyo kama mateso wanayoyapata awamu hii ambapo stiglar imesabstitue maisha ya watu wanyonge
Wewe itakuwa umeanza kufuatilia siasa juzi.
Enzi zile wenzio walitegewaga hadi bomu alafu unasema nini?

Ni uoga wa wapinzani na kuhamishia siasa kwenye simu.
 
Upinzani siyo chama au mtu,
Ni mawazo na fikra mbadala zinazotoa changamoto chanya kwa wat aw ala
Upinzani wa Tanzania bahati mbaya umeambatana na ajenda nyingine nyingi za siri,
Lakin kwa sasa upinzani tuliouzoea Umekufa, simaanishi wa CHADEMA au CUF , nasema hata upinzani wa maana hauna nafasi ndani ya serikali ya Magufuli kwakuwa hawako huru kufanya na kusema lolote, maana katika kuudhibiti mfumo wa upinzani usiokuwa na mema Kwa Taifa yeye kapiga pin hadi upinzani mzuri wa ndani ya Chama na nje ya Chama,

Britannica
Kama unafikiri kuna Serikali ya Tz itayoweza kuajiri wanafunzi kila wanapomaliza masomo, jiulize unakwama wapi kuujua ukweli.
 
Wewe itakuwa umeanza kufuatilia siasa juzi.
Enzi zile wenzio walitegewaga hadi bomu alafu unasema nini?

Ni uoga wa wapinzani na kuhamishia siasa kwenye simu.
Lisu ambaye alikuwa anamwambia ukweli Tena kwa takwimu sahihi si aliishia kuzawadiwa risasi nyingi na jpm! We unaongea vitu gani wewe
 
Enzi zile hungeweza kumuona Dr. Slaa amebeba umbea kutoka kwa watu aina ya Kigogo kisha anapost Twitter.

Yeye alikuwa Anabeba mafile yenye data za kimaandishi na alikuwa anaenda kuwagawia hadi waandishi wa Habari hizo data zake. Alikuwa anakuja na nondo mpaka system inatetemeka.
Najua mtasema enzi zile kulikuwa na uhuru sijui wa takataka gani, ni kwamba wale waliwahi kupigwa hadi bomu kule Arusha.

Fikiria mtu kama Mashinji ambae tulitegemea awe ana chokonoa madudu ya selikali au kupika hoja za kimbdala wa ccm eti na yeye yuko kimyaa lakini kwenye udaku wa kigogo akaibuka?

Eti na yeye Fatuma Karume anawafuasi wake huko Twitter akawaambia tungefanyaje kama si kigogo
Hapa ndio nikasema sasa uanaharakati wake kumbe anasombwa hata na mafuriko ya kigogo?
Kiukweli wasomi na wapinzani wa Tz ni kichefu chefu sana.
Sasa kama upinzani wa maigizo simuwaruhusu na wao wafanye mikutano
 
Kusema upinzani umekufa ni kujidanganya....polis wamepewa kazi kubwa sana ya kupambana Na upinzani.ccm iko hoi
 
Kipindi hiki hayo maigizo unayoyasema yameletwa na watu kupigwa risasi,watu kutekwa hovyo,watu kudhulumiwa mali zao kwa kuwa mrengo flan wa siasa,watu kunyimwa kufanya siasa,watu kutishiwa,nk.JITAFAKARI UNAYOYAONGEA USIROPOKE KAMA BATA ANAYEJISAIDIA,NJAA ZAKO ZISIKUFANYE UTETE UOZO.SAWA MARIAMU?
 
Kila kitu kimekufa ndugu.1.Upinzani umekufa 2.CCM nayo imekufa 3.Bunge nalo limekufa na mwisho 4 Mahakama nayo imekufa. Lililobaki sasa ni Genge la wahuni wanaogemea kwenye chama tawala .We are stupid and divided National
 
Enzi zile hungeweza kumuona Dr. Slaa amebeba umbea kutoka kwa watu aina ya Kigogo kisha anapost Twitter.

Yeye alikuwa Anabeba mafile yenye data za kimaandishi na alikuwa anaenda kuwagawia hadi waandishi wa Habari hizo data zake. Alikuwa anakuja na nondo mpaka system inatetemeka.
Najua mtasema enzi zile kulikuwa na uhuru sijui wa takataka gani, ni kwamba wale waliwahi kupigwa hadi bomu kule Arusha.

Fikiria mtu kama Mashinji ambae tulitegemea awe ana chokonoa madudu ya selikali au kupika hoja za kimbdala wa ccm eti na yeye yuko kimyaa lakini kwenye udaku wa kigogo akaibuka?

Eti na yeye Fatuma Karume anawafuasi wake huko Twitter akawaambia tungefanyaje kama si kigogo
Hapa ndio nikasema sasa uanaharakati wake kumbe anasombwa hata na mafuriko ya kigogo?
Kiukweli wasomi na wapinzani wa Tz ni kichefu chefu sana.

Katafute wajinga ndio uwaambie huu utoto. Kinachofanywa na wanaccm sasa hivi ni kumpaka Dr. Slaa mafuta kwa mgongo wa chupa ili kuhalalisha huu ukatili wanaofanyiwa wapinzani hivi sasa. Hii haina tofauti na kinachofanywa na baadhi ya wapinzani kumpaka mafuta JK ili kumnanga Magufuli.

Ngoja nikupe vihandle ya Dr. Slaa ili huu unafiki wako uwe wazi. Slaa aliwahi kuwataka wananchi wamuombee mkuu wa mkoa wa Shinyanga kuwa kafariki akiwa kwenye mkutano wa wazi, baadae ilifahamika ni tango pori. Slaa aliwahi kuhamaki na kutangaza kuwa kuna gari lina kura za wizi huko Mbeya, alipoenda akakuta ni vipodozi. Haya ni machache tu. Ni hivi, kama umeamua kumtetea Magufuli kwa huu uvumi wa siku mbili rudi studio ukatafute point za kukubeba, na sio huu utoto unaouleta hapa.
 
Mimi nimedharau sana Zitto anapost kuashiria Rais amekufa huku akijua sio kweli na yeye ni Kiongozi

Kwani Zitto anataka umuheshimu? Bora hata Zito kaweza kuomba radhi, hawa waliouwawa kwenye utawala huu kina Mawazo, Azory nk kuna yoyote kaomba radhi?
 
Back
Top Bottom