Upinzani tumieni agenda ya " AJIRA " itawatoa awamu hii !

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,629
34,172
Hakuna Tatizo Kubwa Na Linalowagusa Wengi ( Hususani Vijana ) Lakini Linaonekana Kutopewa Kipaumbele Ipasavyo Na Serikali Kama Suala La Ajira, Ambalo Kama Upinzani Mkilitumia Vizuri Litawatoa.

- Achaneni Na Viagenda Vya Bunge Live, Udikteta, Kiingereza, Katiba Na Njaa Hakuna Atakayewasikilizeni, Mtaonekana Wapenda Madaraka Tu

- Komaeni Na Hili Kisha Mtani "Thank Later"

Disclaimer !
Mimi Mkaruka Kati Ya Vitu Ninavyovichukia Duniani

1.Umasikini
2.Ugaidi
3.CHADEMA
 
Ajira zipo nyingi tanzania hii ardhi kubwa kiasi hicho anakuja na swala la ajira.....kalime vitunguu
 
Huo Ni Ushauri Tu Wa Msingi Ingawa Haitatokea Mimi Kuwa Shabiki Wenu
 
Kma una maoni juu ya namna gani serikali inaweza ikapunguza tatizo la ukosefu wa ajira..toa huo ushauri then...
 
Atakate ongelea ajila nampa kula
Duniani Kote Kuna Agenda Kubwa Tatu Za Kusimamia Na Zikakulipa Kisiasa

1.Rushwa & Ufisadi ( Hii Tayari Magufuli Kaichukua )

2.Ajira

3.Ulinzi Na Usalama

- Agenda Hizi Haziwezi Kumtupa Mtu Kisiasa
 
Hakuna Tatizo Kubwa Na Linalowagusa Wengi ( Hususani Vijana ) Lakini Linaonekana Kutopewa Kipaumbele Ipasavyo Na Serikali Kama Suala La Ajira, Ambalo Kama Upinzani Mkilitumia Vizuri Litawatoa.

- Achaneni Na Viagenda Vya Bunge Live, Udikteta, Kiingereza, Katiba Na Njaa Hakuna Atakayewasikilizeni, Mtaonekana Wapenda Madaraka Tu

- Komaeni Na Hili Kisha Mtani "Thank Later"

Disclaimer !
Mimi Mkaruka Kati Ya Vitu Ninavyovichukia Duniani

1.Umasikini
2.Ugaidi
3.CHADEMA
Hiyo ajenda wataongelea wap ikiwa bwana mkubwa amesitisha mikutano
 
Hiyo ajenda wataongelea wap ikiwa bwana mkubwa amesitisha mikutano
Acheni Visingizio Visivyokuwa Na Kichwa Wala Miguu, Uganda Na Rwanda Ambako Wapinzani Wanapigwa Kabisa Risasi, Siasa Zinafanyika Sembuse Hapa Tanzania Ambapo Viongozi Wa Upinzani Wanalipwa Pesa Na Serikali ( Mishahara Na Ruzuku ), Wanapewa Na Ulinzi Kabisa.
Kuna Majukwaa Mmepewa Yatumieni Hayo Hayo:

1.Mikutano Kwenye Majimbo Yenu

2.Mikutano Ya Ndani

3.Mikutano Ya Nchi Nzima Kwenye Chaguzi Ndogo Za Marudio

4.Press Conferences Na

5.Magazeti Na Media

Hizo Platforms Zote Mnaona Haziwatoshi, Mnafikiri Magufuli Babu Yenu Atawasaidia Kingine
 
Mtoa maada uko sahihi kabisa mi mwenyewe nimeshawahi kuwaza hivo,kiukweli tunahitaji upinzani uliothabiti na imara ili tupate serikali iliyo imara,wapinzani wanapaswa kupambana na matatizo yanayowakumba wananchi na sio kupambana na serikali hakuna siku serikali itapiga kura bali wananchi ndio wapigs kura na waamuzi wa mwisho
Kaeni chini na hawa vijana wasio na ajira waangalie ni jinsi gani watawakwamua af muone kama 2020 hawa vijana watawasahau kwenye box la kupiga kura.
 
Hakuna Tatizo Kubwa Na Linalowagusa Wengi ( Hususani Vijana ) Lakini Linaonekana Kutopewa Kipaumbele Ipasavyo Na Serikali Kama Suala La Ajira, Ambalo Kama Upinzani Mkilitumia Vizuri Litawatoa.

- Achaneni Na Viagenda Vya Bunge Live, Udikteta, Kiingereza, Katiba Na Njaa Hakuna Atakayewasikilizeni, Mtaonekana Wapenda Madaraka Tu

- Komaeni Na Hili Kisha Mtani "Thank Later"

Disclaimer !
Mimi Mkaruka Kati Ya Vitu Ninavyovichukia Duniani

1.Umasikini
2.Ugaidi
3.CHADEMA
Nenda kavue samaki bwai. Unataka upinzani wakuombee hajira wakati wapinzani hao hao huwapendi. Kesho nakuja na furu ujinga wako hapa na michango yako ya kijinga kama hii peleka kwenye group la Mara kwetu
 
Ni Kweli Siwapendi Na Wala Sitawapenda. Huo Niliotoa Ni Ushauri Tu Kwa Faida Yao Wala Sihitaji Kuombewa Ajira Na Wajinga
 
Back
Top Bottom