Upinzani tuitishe maandamano nchi nzima kupinga Ufisadi aliohamasisha Rais Samia. Wanaokwenda kuibiwa ni watanzania wote

CCM andamaneni si rais ni mwenyekiti wenu?

Upinzani tulieni msiandamane Wala kuunga hoja zao

Hoja za upinzani ni

1. Katiba mpya na
2. Tume huru ya uchaguzi

Hayo mengine waachieni ccm
 
Mnaomnukuu mama vibaya mnabishana huku, hamuwezi kujificha hapa na narudia tena ajenda yenu ipo wazi so stop going around the bush. Kwa kuwa mmejificha kwenye shamba la karanga haimsumbui mama ila anawaona maana shamba ametoa magugu bado machache tu
 
Watoto siyo kigezo kinachotumika kumwita mwanamke kuwa ni Mama.Mama ni zaidi ya kuwa na watoto.

Hapa mtaani kwetu kuna mwanamke ambae ana miaka 55 ambae hana mtoto hata mmoja lakini kila mtu huwa anamwita kuwa ni Mama.

Samia ambae ameamua kuitoa nchi sadaka kwa watu wachache hana sifa ya kuitwa Mama.Samia kama Rais mwanamke alipaswa alilee Taifa vizuri ili kuitwa Mama ila yeye amechagua kuwa fisadi.Samia ni fisadi ambalo kila mwenye pumzi anatakiwa alikatae na kulichukia.

Ukiangalia ile video pale mwanzo anasema kuwa ile ni mara ya pili ametoa msimamo/kauli ile.Hii maana yake ni kwamba alichoongea juzi hajaongea kwa kukosea au kwa bahati mbaya bali ndiyo msimamo wa Serikali yake.Sasa mwanamke kama huyu ndiye unataka kumpa sifa ya kuitwa kuwa ni Mama?
Mawazo ya sukuma gang.

Andamaneni wenyewe huko CCM

Sisi tutaaandamana kuunga mkono na kumpongeza rais kwa kuituliza nchi.

Sasa hakuna mauwaji hakuna vitisho hakuna utesaji dhuluma na ubomoaji wa makazi ya watu
 
Ninaunga mkono hoja tutaandamana mtandaoni siku ya maandamano yenyewe wataandamana polisi.
 
Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani.

Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa na viongozi wa CCM huku wakijimegea wanavyotaka.
Itisha na uanze wewe kuwa front
 
Kwa kauli ya Samia nimemvua hadhi ya umama, mama anafikilia wanae, anafikilia Taifa lijalo baada ya yeye anafikilia atawaachaje. kauli hii haikutakiwa kutoka ndani ya kinywa kilichobeba hatma ya nchi yetu
 
Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani.

Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa na viongozi wa CCM huku wakijimegea wanavyotaka.
Wewe upo ccm na unafahamika miss elitwege! Unayemhadaa hapa afuate ushauri wako wa kindezi ili ccm njaa Kali Kama wewe mpate upenyo wa kutema nyingi zenu hayupo! Hata Zitto ccm b hawezi chukua wazo hili!
Wewe na wenzako mliokuwa machawa wa magu, sukuma gang na sabaya andamaneni kukata kiu yenu na acheni kujificha nyuma ya vyama vya upinzani! Ccm sukumagang waoga kuliko mbwa Koko!
 
Katika mijinga ya JF wewe mleta mada ni mmoja wapo, Pumbavu kuu, Ukiona kila pande zinakukataa jua wewe ni more than kimavi biatch
 
Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani.

Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa na viongozi wa CCM huku wakijimegea wanavyotaka.
Kwanini upinzani waitishe maandamano wakati wanaoibiwa ni watanzania wote?
ina maana kama wapinzani ni sehemu ya huo ufisadi ndo mwisho wa mchezo?
kwanini usiseme watanzania tuandamane,badala yake unasema upinzani?
 
Ww hujawahi kuwa na akili
Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani.

Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa na viongozi wa CCM huku wakijimegea wanavyotaka.
 
Mawazo ya sukuma gang.

Andamaneni wenyewe huko CCM

Sisi tutaaandamana kuunga mkono na kumpongeza rais kwa kuituliza nchi.

Sasa hakuna mauwaji hakuna vitisho hakuna utesaji dhuluma na ubomoaji wa makazi ya watu
🤡🤡🤡
 
CCM andamaneni si rais ni mwenyekiti wenu?

Upinzani tulieni msiandamane Wala kuunga hoja zao

Hoja za upinzani ni

1. Katiba mpya na
2. Tume huru ya uchaguzi

Hayo mengine waachieni ccm
Hakika umenena kiongozi.
 
Back
Top Bottom