GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,518
- 108,793
1. Wajiimarishe kuanzia ngazi za chini kabisa za Wananchi ambapo CCM ndiyo huwa inawashindia
2. Wapambane kuwa Taasisi kweli kweli na siyo Vyama ambavyo vinakuwa 'Active' tu wakati wa Chaguzi
3. Waache Unafiki ( Undumilakuwili ) wao unaowamaliza 24/7 japo Ukweli huu huwa hawaukubali
4. Wasitumie CCM kama Mtaji wao Kujiimarisha Kisiasa kwani CCM iko mbali nao sana tu
5. Kipaumbele chao kiwe kuwa na Wabunge wengi na siyo Urais kwani Urais unahitaji Mikakati mipana
6. Agenda zao nyingi ziwe za Kuulinda Umoja wetu na si Kutugawa jambo ambalo hata Muasisi Wetu alilikemea
7. Wapunguze Uzushi na Kushambulia Dola ( Serikali ) ili kupata Huruma ya wale wanaowaamini
Leo GENTAMYCINE nawaambieni 'Wapinzani' msipoyafanya Kazi haya kila Siku 'mtalalamika' mnaibiwa 'Kura' au 'Mnanyanyasika' na Chama Tawala.