Ukiangalia kwa makini mwenendo wa wabunge wa upinzani (UKAWA) ndani ya bunge utagundua hawana viongozi makini! Mnajua kabisa hamna "threshold" ya kumng'oa Naibu Spika lakini mnakuja na strategy za kitoto kama kumsusia Naibu Spika ,"Shame on you !' and remember running away from the problem is an endless race!
Mnajiandaa,then mnaenda bungeni kuangalia kama anayeendesha bunge siyo Naibu Spika Dr.Tulia Ackson ili mkae bungeni kuwawakilisha wananchi wenu! Naye ameshajua udhaifu wenu hivyo ataliongoza bunge kwa kipindi chote anachoweza yeye kwani wenyeviti wa bunge ni wasaidizi tu ambao si lazima waongoze bunge kama Spika anaweza kufanya kazi hiyo.
Sasa nyie wabunge wa CHADEMA na vyama vingine mnaomsusia bunge Naibu Spika Dr.Tulia Ackson lakini pia kwanini hamjiulizi toka mmeanza kususia bunge mbona wananchi wenu nchi nzima hawajapiga kelele kuwaunga mkono?Mmeshindwa kujadili Bajeti leo mnaendekeza siasa za kitoto katika hii Serikali ya Rais Magufuli.