RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,878
- 5,431
Tanzania wapigao kura Kwa Wingi wapo Vijijini Na Wao Hawajui Mambo ya sijui Dollar Kupanda wala Kushuka..... Sijui Kubanwa kwa Uhuru wa Habari....Sijui Eti JPM ni Dikteta
Wao Wanachojali Wanaishi Tu Ili mradi Maisha Yanaenda Na tena Wameshakamatwa na Hii Tumbua Tumbua Ya majipu wanaona Tayari Wamepata Mkombozi wa Kuwafanya watu Wote waishi kama wao yaani wanafurahi Tu Kuona Wote tunaishi Kimaskini ty.. kwa Kifupi They Don't Care kama Watu walivyomjini Ambao Wanaathirika Sana Na mabadiliko haya.
So Kwa Hali hiyo Msitegemee Eti JPM hawatompigia Kura 2020 kama Akigombea tena Na Mifano mshaiona Kwenye Chaguzi Ndogo tu......