Upinzani msiruhusu CCM waendeshe Bunge na nchi pekee yao. Nchi ni yetu sote tusikubali kamwe

Amani iwe kwenu wajumbe!

Nadondosha andiko langu hapa kuushauri upinzani katika nchi hii usikubali kabisa upuuzi wa watu wachache kuamua kujipa mamlaka kwa kutumia nguvu ili kujiamulia kuifanyia nchi watakavyo. Wanataka wapange bajeti ya nchi watakavyo.

Serikali ya CCM imekua na rekodi ya kuiba na kufisadi mali za umma na upinzani pekee ndiyo uliokua jicho pekee la kumulika uchafu huo.Sasa CCM wametumia vibaya mamlaka ya kidola kuwapora upinzani ushindi wao ili waendelee waliyokuwa wakiyafanya huko nyuma.

Duniani kote hakuna mfumo wa kiutawala uliowahi kubadilishwa bila jasho na machozi ya watu. CCM wanasubiri machozi yaanze kudondoka ndio wajiondoe kwenye mfumo, CCM wanasubiri jasho liwatokee wachache ndipo wajiondoe kwenye mfumo. Huo ndio wakati wenyewe wa kufanya maamuzi magumu kubadili mfumo unaotumiwa Vibaya na ccm.

Kama Zitto Kabwe ametuhumu with Evidence kwamba TIS ndio waliohusika kuchakachua uchaguzi huu,wanafanya haya kwa faida ya nani? DSO anaandika matokeo kama nani? Yeye ni afisa wa tume au nani?

Ni wakati wa kuuondoa huu upuuzi unaoendekezwa na watu wachache. Hii nchi ni yetu sote, Mwalimu alituletea mfumo wa vyama vingi tuwe huru kuchagua. Haturuhusu urithi huu kunajisiwa na washamba wachache wenye uchu wa madaraka. Tunahitaji mfumo mpya wa kiutawala whether CCM wakubali au wakatae.
Jambo baya na kipuuzi ni kufikiria jukumu la kuikoa nchi hii ni la kina Mbowe peke yao ?
 
CCM hamuiwezi, nchi nzima mna mbunge mmoja tu 🤣🤣🤣 nyie ndio wa kushika dola kweli! Aise mkiambiwa mabeberu sio watu mnabisha. Haya ombeni msaada mwingine wawasaidie
 
Maandamano ni ya kutaka uchaguzi urudiwe siyo kupindua serikali

Acha watu waandamane ,kwani inakusumbua nini.
Wananchi tumeshaamua kuwa hatuwataki, nendeni huko kwa mabwana zenu kwa kina Robert Amsterdum mkakunwe muwasho uishe. Kama uchaguzi ukirudiwa hata hizo kura 1M + mlizopata mtazisikia kwenye bomba.
 
Kuokotesha mataka Wanajeshi ni kuwadharau na kuwadhalilisha,mi nataka hio tarehe 2 wamwambie Magufuli ondokah.

Ni dharau kubwa sana kulitumia Jeshi kuokota mataka ,aidha itakuwa jeshi letu limetekwa na ndani yake kuna watu wanaliendesha puta mara kulima,mara kujenga na sasa wanaokoteshwa mataka,ni aibu ,hata ingekuwa kujitolea kivipi sio kuokota mataka,hawa watu wamejitolea na wapo tayari kupoteza roho zao kwa ajili ya nchi hii ya Tanzania na kuwalinda raia zake,hasira sana sana.

Yaani kama wananchi watasikia ni bora kuwambia majeshi wapumzike wananchi wataokota hayo mataka.

Wanalidharaulisha jeshi vibaya sana na aibu inakuja pale wanaposhiriki kitu wataambiwa nyie kaokoteni mataka,mmeona eei.
 
Ni kweli lazima kujitoa mhanga vinginevyo hakuna kitachobadilika.

Mkitaka kujua watu wana hasira na machungu, someni comments baada ya Hussein Bashe kuandika tweet ya kumsifia Magufuli kwa eti kushinda uchaguzi.

Comments zimeishia kumfedhehesha yeye mwenyewe na Magufuli kutokana na lugha(abusive language) na maneno mengine makali watu waliotumia kumjibu Bashe.
Mnajitoa mhanga kwa kuvaa mabomu? Au kwa kushika bunduki na kuingia msituni?
 
Ni kweli lazima kujitoa mhanga vinginevyo hakuna kitachobadilika.

Mkitaka kujua watu wana hasira na machungu, someni comments baada ya Hussein Bashe kuandika tweet ya kumsifia Magufuli kwa eti kushinda uchaguzi.

Comments zimeishia kumfedhehesha yeye mwenyewe na Magufuli kutokana na lugha(abusive language) na maneno mengine makali watu waliotumia kumjibu Bashe.
Msomali lazima ajipendekeze
 
Back
Top Bottom