Uchaguzi 2020 Upinzani, msiende mahakamani wala msihamasishe watu kuingia barabarani. Tuacheni Wananchi tuyaone wenyewe

Wananchi nao Ni jipu.Pita pita mtaani uliza washabiki wa chama Tawala wapo wengi mno japo baada ya uchaguzi hawataki tena kujionesha maana wanajua yajayo yanatisha.Hapohapo pita pita mtaani uliza ambao hawakupiga kura sababu ya kukata tamaa wapo wengi mno
Ngoja tuyasubiri hayo yanayotisha.!
 
Wananchi nao Ni jipu.Pita pita mtaani uliza washabiki wa chama Tawala wapo wengi mno japo baada ya uchaguzi hawataki tena kujionesha maana wanajua yajayo yanatisha.Hapohapo pita pita mtaani uliza ambao hawakupiga kura sababu ya kukata tamaa wapo wengi mno
Huo ushabiki wanaufanya bure?.Shida siyo kutopiga kura bali mazingira yaliyopelekea wakate tamaa ya kupiga kura.Wengi tangu 2015 walijiapiza kutokupiga kura tena!
 
😂😂😂, Mlikuwa na midomo Sana humu,naamini sasa kilichobaki ni nyinyi kuunga juhudi tu.
Ni kweli mbona Waganda na Wanyarwanda wanaunga juhudi na hakuna shida.Wamejiridhikia na akina Museveni na Kagame kiroho safi.Na hakuna beberu linalowagusa.Ni mwendo wa"shiiii shut up".
 
Sina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri.

Ni kweli mtakosa mapato, lakini mnaweza kujibidisha na kupata shughuli nyingine hata ikiwezekana kilimo...

Tatizo ni kuwa hapa kuna wizi. Kwani mawakala walikuwapo angalau kuangalia tu? Kuwalaumu wapiga kura ni kupotosha.

Figisu zote tangia engua engua za wagombea hukuziona?

Mahakamani hamna haja. Kufuata wanavyotaka tufanye kudai haki zetu hilo hapana.

Kudai haki zetu kwa njia zote za amani hiyo ni haki yetu. Maalim Seif watamwachia tu na aluta continua!

SMS zenye maneno fulani bado haziendi. Media blackout bado ipo.

Sehemu nyingi watu wanapinga dhuluma za wazi hizi, hawatangazi tu. Hata wasipotangaza sasa - aluta continua watasema tu.

Mbona hatimaye ya wale tokea Mozambique walisema?
 
Niwaambieni tu, hao US UN EU wataishia maneno tu. Hawatoeka vikwazo wala hawatozuia misaada kwa sababu raia hawajawa tayari. Hawa jamaa wao mpaka damu imwagike ndio wafanye kweli vyenginevyo wanaona watu wamridhia sasa kwanini wajiingize kutetea haki zenu kama mmeridhia?

Isitoshe watanzania hawatetei utambulisho rasmi wa mashoga. Makonda alivyoanza crackdown ya mashoga mmeona wenyewe walivyomshukia Makonda lakini watu wameuliwa kabisa na kama hawayaoni
 
Sina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri.

Ni kweli mtakosa mapato, lakini mnaweza kujibidisha na kupata shughuli nyingine hata ikiwezekana kilimo...
Kabisa ushauri mzuri tumwone huyu mshamba na akili zake za kijingajinga
 
Sishauri kabisa mpinzani yeyote aandamane afe halafu faida waje wapate CCM pekee kwa gharama ya Upinzani.Wacha tuendelee kura vumbi.CCM wenyewe watakuwa wa Kwanza kuandamana
Sishauri kabisa mpinzani yeyote aandamane afe halafu faida waje wapate CCM pekee kwa gharama ya Upinzani.Wacha tuendelee kura vumbi.CCM wenyewe watakuwa wa Kwanza kuandamana
Sishauri kabisa mpinzani yeyote aandamane afe halafu faida waje wapate CCM pekee kwa gharama ya Upinzani.Wacha tuendelee kura vumbi.CCM wenyewe watakuwa wa Kwanza kuandamana
CCM wataandama kivipi mkuu?.Wataandama kudai nini,kwa nani ili hali wapo wenyewe tu?
 
Sina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri.

Ni kweli mtakosa mapato, lakini mnaweza kujibidisha na kupata shughuli nyingine hata ikiwezekana kilimo...
Uncle Jei Jei, hii ni mada yenye kina sana, ingawaje mwenye kusoma juujuu ataichukulia kama unawashawishi wapinzani "wazile" kama watoto wadogo.

Mambo yakimuwia magumu, atawarudia hao hao wapinzani, mmoja mmoja na kuwarubuni kivyake, kama ilivyo kawaida yake! Wewe hukumbuki mazingaombwe aliyokuwa akifanya kwenye hii miaka mitano iliyopita?

Huyu mtu hana chembe ya soni ndani yake na wala hana aina yoyote ya ubinaadam ndani yake.

Usitegemee kwamba atabadili chochote hata mambo yakimwendea vibaya , na usishangae akizidisha ukatili kwa wananchi hao watakaokuwa akili zimewarudia kwa kutoyakataa haya yaliyofanyika hii miaka ya nyuma wakati pakiwepo nafasi nzuri ya kumkataa.

Hiyo nafasi sasa imetoweka na 'uchafuzi' huu uliofanyika kwenye uchaguzi huu.

Sasa imebaki kulia na kusaga meno.
 
We shall be having a monologous discussion in the house. That is detrimental for our Nation.
 
Niwaambieni tu, hao US UN EU wataishia maneno tu. Hawatoeka vikwazo wala hawatozuia misaada kwa sababu raia hawajawa tayari. Hawa jamaa wao mpaka damu imwagike ndio wafanye kweli vyenginevyo wanaona watu wamridhia sasa kwanini wajiingize kutetea haki zenu kama mmeridhia? Isitoshe watanzania hawatetei utambulisho rasmi wa mashoga. Makonda alivyoanza crackdown ya mashoga mmeona wenyewe walivyomshukia Makonda lakini watu wameuliwa kabisa na kama hawayaoni
Hili nalo neno,mbona wakina museveni wanadunda tu?
 
Sina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri.

Ni kweli mtakosa mapato, lakini mnaweza kujibidisha na kupata shughuli nyingine hata ikiwezekana kilimo.

Tuachieni hii miaka mitano ili tujionee wenyewe.

Msihangaike kwenda mahakamani maana huko mtapoteza fedha na muda wenu bure.

Msihangaike kuhamasisha maandamano maana police wakifyatua risasi na raia wakafa, mtalaumiwa bure!

Tuachieni miaka hii mitano tujihakikishie Kama kweli maana ya upinzani ipo kwenye vyama vya siasa au mioyoni mwa watu?

Kaeni pembeni tuone Kama kweli nyie ndio chanzo cha kukosekana kwa huduma za jamii huku kwetu?

Kaeni pembeni tuone Kama kweli nyie ndo mlikuwa sababu ya umasikini wa Watanzania wengi?

Kaeni pembeni ili wananchi waanze kufurahia maziwa na asali walivyovikosa miaka yote hiyo.

Nasema kaeni pembeni kwasababu mmejaribu kutusemea ila tumeshindwa kuwaelewa.

Haina haja ya Mmarekani na wa yuropa kuanza kutusemea! Waambieni nao watuache, tuna jambo letu miaka mitano hii.

Tena waambieni wawe wa kwanza kumpa kongole muheshimiwa kwa ushindi wake wa kishindo na madiwani na wabunge wote! Wasimseme wasije kumconfusi!

Kwa kweli mkijikalia pembeni mkaanza kufanya shughuli nyingine nje ya siasa kuanzia Leo mtakuwa mmetusaidia sana sisi wanyonge kuondoka kwenye unyonge wetu.

Mtakuwa mmetusaidia sana maana mishahara itapanda, huduma za jamii zitabireshwa, ajira zitapatikana, shule zitaboreshwa, uhuru na haki vitatamalaki na Mambo kede kede.

Msiandamane wala kulalamika lalamika ili msimconfyuzi mshindi akaanza kuloose focus na kugombana na nyie!

Muacheni na mtuache na sisi tuyaone wenyewe!

Ni hayo tu! Tanzania ni yetu watanzania, UN, USA na wengine hawawezi kutuonea huruma tusipoanza sisi kujionea huruma na hata wakituonea huruma watakuwa na jambo lao nyuma ya pazia!

Waambieni watuache tuyaone wenyewe!
Click to expand...
Ni mataahira (mental retards) pekee ndiyo wanaweza kushangilia eti CCM wameshinda uchaguzi huu wa 2020.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom