Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,137
- 6,251
Wanasaidia kujenga nchi kwa hoja zao nzuriIla mawazo yao ndio yaliyofanyiwa kazi na serikali, sasa wale ambao kazi yao ni kupiga makofi ndio tuseme wanasaidia nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasaidia kujenga nchi kwa hoja zao nzuriIla mawazo yao ndio yaliyofanyiwa kazi na serikali, sasa wale ambao kazi yao ni kupiga makofi ndio tuseme wanasaidia nini?
Naujuwa ila si huu wa kurupoka tu bungeni na kujipiga picha kisha kubandika Insta na Facebook ili wananchi waone kuwa unabwabwaja utumbo kama Mdee, Zitto, Lissu, Lema....wananchi tumewachoka na tumeamua kwa kishindo. Haya jiueni sasa.upinzani Wa ukweli unaujua au unalopoka.
Watanzania hawawezi kufunguka macho hata siku mojaNaunga mkono hoja:
kwanza kabisa kwa kuwashukuru wapinzani kwa kutupigania na pongezi nyingi sana kwa ccm kwa ushindi usio wa kawaida.
Ingependeza awamu wapinzan wajikite na mishe zao kwenye na kujenga vyama vyao watuache na wateule tuijenge tanzania iwe ulaya.
Naamin kabisa itafika muda hata hatutohitaji msukumo wa wapinzan na kujikuta wananchi wa vyama vyote na wasio na vyama tunaongea lugha moja.
Kumpigania mtu ambaye hayuko tayari sio rahisi na watu wengi hatujajua bado umuhimu wa upinzani bungeni. Naamin hii miaka mitano ya TANU itatufungua akili tulio wengi. Tuombe uzima tu, its just a matter of time
Time is the best teacher mkuu, na siku zote shida huleta maarifa....ngoja tuendelee kuisoma namba kwanzaWatanzania hawawezi kufunguka macho hata siku moja
Sijawa msemaji wenu na hii hainiondolei haki yangu ya kutoa maoniNani kakuweka kuwa msemaji wetu? Tuondolee akili za kipimbi hapa
MUNGU HUYU HUYU?Watanzania tumekamilisha jukumu letu la kikatiba la kuweka viongozi madarakani na maisha baada ya uchaguzi yameanza.
Sasa tuchakarike na maendeleo yetu binafsi na ya taifa letu tukijua maendeleo hayana chama. Wenzetu wa upinzani sasa tuungane na tushirikiane katika masuala yote yanayogusa maslahi yet bila kujali itikadi ya vyama vyetu.
Kwenye hatua ya maendeleo ama wote tunashinda au wote tunashindwa. Kwa mfano, Tanzania ilipotangazwa kuwa nchi ya kati, wote tulishinda katika ngazi hiyo. Tukubali uchaguzi umeisha.
Ni kweli kibinadamu wengine watakuwa wameumia baada ya matarajio yao kutokufikiwa. Hili ni jambo la kawaida. Tujipe siku mbili tatu hali yetu itarudi kawaida na tuendelee kuchapa kazi. Mungu ibariki Tanzania.
Mbona china au uarabuni hawajatengw, hata rwanda tu hapa?Kama wapo wazee wenye hekima na viongozi wa dini halisia watashauri kitu. Vinginevyo tutaumia Watanzania wote mbali ya kuharibu umoja, tutatengwa na jumuia za kimataifa.