cchrispian
Member
- May 9, 2013
- 16
- 5
Hivi viongozi wa vyama pinzani mbona wanajiangusha? Muda kama huu ambapo wananchi hawana imani na chama tawala ilibidi wao ndo waongoze kutoa hoja zenye msimamo. Hata kama hawapo bungeni, wangetumia muda huu kutoa maoni na kampeni ndogondogo za kuunga mkono wananchi.
Ila naona wao ndo kwanza wanafanya mambo yasiyoeleweka hata. Waache matukio ya ili waonekane kwenye magazeti.
Unganeni na wananchi, kufikia 2025 nahakika bungeni mtarudi wengi na mkifanya vizuri sana hiyo miaka 5 mnaweza kupata uraisi 2030. Ila mkiendelea kulalama, itafika 2025 mtabaki kulalamika tena kura zimeibwa.