STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,638
- 16,566
Katika pitapita zangu nimemskikia Mh Bernard Membe eti anataka kugombea Urais kutokea upinzani. Je, viongozi wote walioko upinzani wamekosa sifa za kugombania kuwa Rais?
Upinzani msirejee makosa ambayo taari yako wazi na mnajua kabisa kuwa mnataka kuchezewa mchezo mchafu, ata baada ya uchaguzi huu atajitokeza mwengine kutoka chama tawala ataendelea na mchezo kama huu, leo eti nimeona account ya jamaa wa upinzani anaanza kumwagia sifa Membe apewe nafasi agombanie nafasi ya Urais upinzani.
Ni mambo ambayo yako simple but mnayafanya complex wenyewe.
The ruling party uses only the slightest weakness of opposition to overcome it easily.
Why don't you learn the mistakes you made in the past?