Upinzani, kwanini mnataka kurejea makosa yaleyale?

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
4,890
2,000
Katika pitapita zangu nimemskikia Mh Bernard Membe eti anataka kugombea Urais kutokea upinzani. Je, viongozi wote walioko upinzani wamekosa sifa za kugombania kuwa Rais?

Upinzani msirejee makosa ambayo taari yako wazi na mnajua kabisa kuwa mnataka kuchezewa mchezo mchafu, ata baada ya uchaguzi huu atajitokeza mwengine kutoka chama tawala ataendelea na mchezo kama huu, leo eti nimeona account ya jamaa wa upinzani anaanza kumwagia sifa Membe apewe nafasi agombanie nafasi ya Urais upinzani.

Ni mambo ambayo yako simple but mnayafanya complex wenyewe.

The ruling party uses only the slightest weakness of opposition to overcome it easily.

Why don't you learn the mistakes you made in the past?

FB_IMG_1586193303770.jpg
 
white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
4,307
2,000
STRUGGLE MAN,

Mi nadhani, kwa uchafuzi wa mwaka huu, upinzani, watafute mtu, awe membe au lisu ndio agombee ili kuleta mchachato tu kwa meko, kwani hawawezi kushinda kutokana na mazingira ya kisiasa yaliyopo nchini!! Upinzani wangeungana tu, wakamsapoti mgombea mmoja tu, hususani chadema na act wazalendo. Ajabu unakuta eti chadema nao wanasimamisha mgombea zanzibar?!
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,019
2,000
Katika pitapita zangu nimemskikia Mh Bernard Membe eti anataka kugombea Urais kutokea upinzani. Je, viongozi wote walioko upinzani wamekosa sifa za kugombania kuwa Rais?

Upinzani msirejee makosa ambayo taari yako wazi na mnajua kabisa kuwa mnataka kuchezewa mchezo mchafu, ata baada ya uchaguzi huu atajitokeza mwengine kutoka chama tawala ataendelea na mchezo kama huu, leo eti nimeona account ya jamaa wa upinzani anaanza kumwagia sifa Membe apewe nafasi agombanie nafasi ya Urais upinzani.

Ni mambo ambayo yako simple but mnayafanya complex wenyewe.

The ruling party uses only the slightest weakness of opposition to overcome it easily.

Why don't you learn the mistakes you made in the past?

Toa mapendekezo nini kifanyike.
Ikitokea wakamchukua Membe na wakashinda urais, utalisemeaje hilo! Utaendelea kuwalaumu? Haya mambo in magumu. Nami nisingelipenda kumvhukua Membe, but if he can makena difference, then sioni tatizo la kuua chama.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom