Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Hapa ndipo tatizo lilipo, Lowasa ni mtu anayependa ukubwa na kuabudiwa, hivyo hata kama Wapinzani wakiungana na kuunda Chama kimoja maadamu Lowasa yupo huo Muungano hautafika popote kwani, ni lazima Lowasa ndiyo awe Mkuu wa huo Muungano na yeye ndiye awe Mgombea Uraisi wa kudumu wa huo Muungano, kwa kifupi yeye Lowasa ndiyo awe mmiliki wa huo Muungano, akama alivyo sasa mmiliki wa chadema!
Hivyo basi kwa ukweli huo Muungano wa vyama vya Upinzani Tanzania ni ndoto kutokea, maadamu lowasa, Mbowe na Lisu ni sehemu yao, kwani wote hawa Lowasa, Mbowe na Lisu ni narcissist, wanaona wao ndiyo wao na bila ya wao hakiendelei kitu ...