MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,966
Hii ni kwa mujibu wa uoni wangu wa kisomi makini usiokua rasimi. Hebu jaribuni kuchukulia kua katika eneo flani kuna wapiga kura 10, halafu fanya hivi watu 4 ni CCM, 3 ni CHADEMA, 1-CUF, 1-ACT, 1-NCCR.Chukua 3+1+1+1=6(upinzani kwa ujumla) na CCM=4.CCM watatawala vipi milele? Muunganiko makini wa vyama haujawahi kumwacha mtawala salama.
Ninachosisitiza ni kwamba, upinzani anzeni kukaa pamoja fanyeni mikakati madhubuti mmalize kazi. Siyaoni maisha marefu ya CCM, Pangeni safu imara zenye ushawishi pande zote msimamishe mtu mmoja mmoja.
Ukweli mchungu usiopingika ni kwamba hakuna kitu CCM wanakichukia kama kuungana, hawalali wanawaza usiku na mchana kuwagawanya. Hii ndio dawa yao.