Upinzani jijengeni, CHADEMA inajifia sasa inatafuta wakufa nao

BABA NI CCM

Member
Nov 24, 2018
86
98
Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Leo niwape msaada ndugu zangu wa vyama vya upinzani. Ndiyo niwape msaada kwani CCM tunaamini bila hivi vyama vya upinzani hatutakuwa na sababu ya kuwa na vyama vingi. Naam kwa maana nyingine ni kuwa tunaviitaji hivi vyama.

Licha ya serikali kufanya jitihada nyingi kukuza demokrasia nchini vipo vyama na watu mmoja mmoja ambao wanafanya kila juhudi kukwamisha jambo hili. Wapo wanaovunja kwa maksudi sheria za nchi, taratibu na miongozo.

Muda wa siasa za majukwaa ulikwisha malizika, lakini kwa makusudi tunawaona ndugu zetu kutoka baadhi ya vyama vya upinzani wakitoa hoja kinzani kama vile hoja ya kuminywa demokrasia eti kisa tu muda wa kampeni za majukwaa umeisha, hivi mlitaka tukimbizane majukwaani miaka tano? ni lini tutafanya kazi kama kila uchwao tupo majukwaani hilo hapa Tanzania HAPANA.

Upinzani jijengeni hawa chadema wanajifia kwa kasi sasa wanatafuta wakufa nao. Cuf, Act wazalendo, Nld, Nccr mageuzi na vyama vingine jitathimini vyema msije kuwa misukule wasindikizaji. Epusheni viongozi wenu na mikwaruzo ya kisheria, epusheni wanachama wenu na utovu wa sheria, jiepusheni na maandamano na kuunga mkono hoja zenye lengo la kuikwamisha serikali. Hakika mtakuwa mmejijienga na mtakuwa. Msisite kukosoa ila msiache kushauri na mpuuze kupotosha.

Hayo ni yangu machache kwenu
#TwendeMaktabaTukasome

Wasalimu Lumumba
Ni mimi Mtoto wa Baba.
 
Tatizo ninyi mmeondolewa uwezo wa kufikiri na kila wakati mnapost ujinga uliowajaa vichwani mkidhani watu wote wana bongo za kuku kama zenu.... Niko Kijijini kabisa Kata ya Itundu, kijiji cha Makusi wilayani makete kila unayekutana naye wanaumizwa sana na ragi ya kijani na wengi wanakimbilia Chadema.

Kulikuwa na Msiba ambao mtoto wa mama mmoja wa CCM alijinyonya na alipozikwa watu mbalimbali wakatoa salamu zao za rambi rambi ikiwemio CCM na Chadema.

Wanawake wa CCM wakawa wa mwisho wakaanza wimbo msibani ati CCM ndio ina uwezo wa kutawala, watu walizomea sana mpaka wakanyamaza kuimba.. hii ni sehemu ndogo tu ya jamii ambayo nimeishuhudia tar. 23/11/2018..

Sasa unaposema Chadema imekufa unajidanganya,..CCM ndio inakufa na Chadema ndio wanainusuru otherwise mlishafeli..
 
Siyo lazima upinzani uwepo hapa nchini ila sisi wananchi Kuna siku tutawatia tuuuu!!
 
Kama baba yako angeweza kuvaa condom Siku ya tendo hakika hangeweza kutuembusha na ujinga huu
 
Chadema ilikufa 2015 sasa hivi kuna kivuli.
"wataishia gerezani"
SUKUMA NDANI.
 
Hii ndo CCM Baba,hatushangai pole San.
IMG-20181110-WA0048.jpg
 
Back
Top Bottom