Upinzani iadabisheni ccm 2020 kwa utaratibu huu!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,970
Kama mlikosea sana awamu hii ni kwaachia viti vingi vya ubunnge ndio maana haya yanatokea,mlitumia nguvu nyingi sana kwenye urais majimboni mkajisahau na kujiamini sana! Sasa 2020 kama kumtoa Magufuli itakua shida basi kuwatoa wabunge wote wa CCM uwezo mnao! Kaeni jipangeni wekeni nguvu kubwa majimboni waadabisheni, Inamaana ikiwa hivyo hawatakua na spika, hawatakua na naibu spika wala hawatakua na Waziri mkuu waone Magufuli atakua na nani.Uwezo wa kulidhibiti mnao sana.


Tunajua kua hawa watu hupenda kutumia nguvu za dola, jipange mitego hiyo ya nguvu za dola muipangue mapema,Ushauri huu wautoe kina Mzee Lowassa, Mh LISSU,Mnyika,Lwakatare, Mdee, Bulaya,kubenea na wabunge wengine walioshinda kupambana na dola mpaka wakashinda.


Wameanza mapema, wamewaamsha hasira zenu mapema sasa 2020 Magufuli awe rais Lowassa akiwa PM sio mbaya. Mtakua na maadalizi mazuri ya 2025.Ungane nchi nzima wakataeni wanafki waadabisheni hawa.
 
Back
Top Bottom