chamilo nicolous
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 2,081
- 1,437
Upinzani halisi unajengwa juu ya hoja za kimaendeleo, haujengwi juu ya kupinga kanuni wala taratibu ambazo kimsingi kiongozi yeyote anatakiwa kuzifuata na kuzisimamia.
Juma lililopita vyombo vya habari vilionesha Mh. Zito kujihudhuru nafasi yake ya ujumbe wa kamati moja wapo ya bunge kutokana na harufu harufu ya rushwa, huu ni mfano wa upinzani halisi.
Wakati Mh. Zito anapoendelea kuonesha dhima ya upinzani halisi, wengine wanaonesha dhima ya kupinga taratibu na kanuni. Nawakumbusha tu, upinzani halisi unajengwa juu ya hoja za kimaendeleo ambazo kiongozi anaweza kuzionesha kiutendaji( practically) na sio maneno ya jukwaani.
Wapinzani tujipange upya kwa hoja za kimaendeleo na si chokochoko za kisiasa.