Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Ebu jamani angalieni hiyo picha hapo chini muitafakali ndio mtajua kuwa sisi wapinzani tuna safari ndefu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Si utakuwa umeenda na press?? Wapige picha kuwa"Mr. So and so wa upinzani, aliporudisha form yake hakumkuta muhusika so ameiacha pale mezani isije semwa kuwa, alichelewa
Alafu wakati wa kuikabidhi kwa msimamizi imechelewa kufika kwahiyo chama chakavu kimepita bila kizuiziSi utakuwa umeenda na press?? Wapige picha kuwa"Mr. So and so wa upinzani, aliporudisha form yake hakumkuta muhusika so ameiacha pale mezani isije semwa kuwa, alichelewa