Mnahamisha magoli mlisema CDM imekufa baada ya kuona nyomi la mikoani mmeanza kutafuta visingizio vingine,Wasalaam,
The same Scenario ya 2015 nimeshangaa sana inajirudia kwa kasi Watu wako wanajadili namna ya wagombea wakipokelewa mikoani kwa umati mkubwa.
CHADEMA mna cha kujifunza uchaguzi wa Mwaka 2015 ila ni dhahiri mmeonekana kuyasahau mafunzo hayo hadi sasa Mnamuona Lissu ndiye mshindi na Kuangali miji aliyotembelea na Kupima kura zake kwa Umati.
Uzi tayari, Tukutane Oktoba 28 mtu ashinde mechi zake.
From Tallying Centre
View attachment 1534443View attachment 1534443
Kwa taarifa yenu tume iwe huru! Isiwe huru! Lisu atashinda na kutangazwa