Upinzani bado unaliwa na dhambi ya Udini na Ukabila, sikutegemea kama CUF ni ile ile ya 1995

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,513
141,246
Kiukweli upinzani wa Tanzania bado umejengwa katika misingi ya udini na ukabila yaani hakuna mabadiliko yoyote baada ya takribani miaka zaidi ya 25 ya uwepo wao.

Sikuamini masikio yangu baada ya kusikia utambulisho wa safu ya uongozi wa Cuf pale Diamond, utadhani tupo Zanzibar yaani wagalatia unawatafuta kwa tochi.

Ndipo ghafla nikaikumbuka Chadema ya wakati wa kampeni ilivyokuwa inaimbisha nyimbo za Tenzi za Rohoni na kutembeza kikapu cha sadaka.
Kwa kweli Upinzani wa Tanzania bado sana.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hahaaa naona unakuja na mrejesho wa kilichokupeleka Diamond Jubilee komredi

Kumbe ulikua unaenda kumchora Propesa
 
Powa lakin umepitia hapa kuona udini unaanzaje?

Ukanda wa ziwa na ukabila wa usukuma huuoni?
 
Mkuu acha kuamsha hasira za watu, maana ukiangalia safu ya uongozi wa Magu 90% ni wakristo na kutoka kanda ya ziwa.
 
ndivyo watawala wanavyotaka kura za waislam zikaharibukie cuf halafu wao hao kanda ya ziwa
 
Hahaaa naona unakuja na mrejesho wa kilichokupeleka Diamond Jubilee komredi

Kumbe ulikua unaenda kumchora Propesa
ACT wazalendo pia wagalatia unawatafuta kwa tochi.Chadema majina mengi ni ya Kilimanjaro uchagani.Makabila mengine unawamulika kwa tochi wakiwemo jirani zao wapate.Kwenye Safu ya viongozi chadema wapare unahitaji kuwa na tochi yenye mwanga mkali kuwaona
 
Kiukweli upinzani wa Tanzania bado umejengwa katika misingi ya udini na ukabila yaani hakuna mabadiliko yoyote baada ya takribani miaka zaidi ya 25 ya uwepo wao.

Sikuamini masikio yangu baada ya kusikia utambulisho wa safu ya uongozi wa Cuf pale Diamond, utadhani tupo Zanzibar yaani wagalatia unawatafuta kwa tochi.

Ndipo ghafla nikaikumbuka Chadema ya wakati wa kampeni ilivyokuwa inaimbisha nyimbo za Tenzi za Rohoni na kutembeza kikapu cha sadaka.
Kwa kweli Upinzani wa Tanzania bado sana.

Maendeleo hayana vyama!
ungeweka majina yao hapa tuyashuhudie wote nadhani itasaidia kukubali au kupinga hoja yako vinginevyo haina mashiko ni story za maskani
 
ACT wazalendo pia wagalatia unawatafuta kwa tochi.Chadema majina mengi ni ya Kilimanjaro uchagani.Makabila mengine unawamulika kwa tochi wakiwemo jirani zao wapate.Kwenye Safu ya viongozi chadema wapare unahitaji kuwa na tochi yenye mwanga mkali kuwaona
hao wa chadema ni dini gani maana ukiona majina ya kiarabu itakuwa udini ila ukiona ya kizungu itakuwa ukabila sio udini yyyyy
 
Kiukweli upinzani wa Tanzania bado umejengwa katika misingi ya udini na ukabila yaani hakuna mabadiliko yoyote baada ya takribani miaka zaidi ya 25 ya uwepo wao.

Sikuamini masikio yangu baada ya kusikia utambulisho wa safu ya uongozi wa Cuf pale Diamond, utadhani tupo Zanzibar yaani wagalatia unawatafuta kwa tochi.

Ndipo ghafla nikaikumbuka Chadema ya wakati wa kampeni ilivyokuwa inaimbisha nyimbo za Tenzi za Rohoni na kutembeza kikapu cha sadaka.
Kwa kweli Upinzani wa Tanzania bado sana.

Maendeleo hayana vyama!
Ni rahisi kujisemea na kutuhumu kuna udini na ukabila bila kujua maana ya hizo dhana. Mtu unamuuliza dini au kabila lake anasema unaendekeza udini au ukabila. Kweli? Mungu anaumba makabila. Watu wametengeneza mataifa. Kabila ni kuu kuliko taifa! Udini ni nini? Ukabila ni nini?

ACT wazalendo pia wagalatia unawatafuta kwa tochi.Chadema majina mengi ni ya Kilimanjaro uchagani.Makabila mengine unawamulika kwa tochi wakiwemo jirani zao wapate.Kwenye Safu ya viongozi chadema wapare unahitaji kuwa na tochi yenye mwanga mkali kuwaona
 
Mkuu acha kuamsha hasira za watu, maana ukiangalia safu ya uongozi wa Magu 90% ni wakristo na kutoka kanda ya ziwa.
Nadhani ni zaidi ya asilimia 95% safu ya uongozi wa MAGU ni Wakristo, ukiangalia kuanzia teuzi zake zote toka ameingia madarakani yaani inasikitisha sana. Haya mambo yangefanywa na Kikwete kungekuwa na Waraka zaidi ya 100 kutoka kwa maaskofu na wapambe wao, wangeshajaza server za Jamii Forum kwa topiki mbalimbali wakitukana. Wengi wao wako kimya sasa wameridhika, wanachekelea na kufurahia yanayoendelea, wakumbuke tu Tanzania ni ya wote.
 
Back
Top Bottom