Njowepo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 9,711
- 2,226
Nasikia kesho ile ndege ya mama Tibaijuka itakuwa ikivinjari maeneo ya ziwa nyasa kuweka sawa suala la mpaka kwa mujibu wa mmoja wa wananchi aliyesikia tangazo la kuwataka wananchi wasiwe na hofu iyo ndege ikiwa inapita!
my take
Ni uamuzi wa busara sana huo kama inchi,ingawa malawi ataendelea kulalamika ila itamfanya ajue kuwa we are serious on this issue na ikiwezekana tutawapa coordinates za mpaka ili kuonesha ujirani mwema na kuwa hatuna hiyana nao