Upimaji bidhaa mamlaka chakula na dawa

left eye

JF-Expert Member
Jun 30, 2018
207
266
Habar wakuu Nina bidhaa yangu ya kutoa madoa na sugu mwilin ,nimeambiwa siwez uza mpk ithibitishwe na TFDA

Nauliza inacost kias gan kupima bidhaa yako na inachukua muda gan
 
Habar wakuu Nina bidhaa yangu ya kutoa madoa na sugu mwilin ,nimeambiwa siwez uza mpk ithibitishwe na TFDA

Nauliza inacost kias gan kupima bidhaa yako na inachukua muda gan
Hakuna TFDA...mamlaka hiyo imehamia TBS.. akushauri anzia SIDO..watakua palekezo mazuri kabla ya kwenda TBS.

#MaendeleoHayanaChama
 
Serikali ya Samia ni wakati muafaka sasa kuirudisha TFDA maana TBS imeshindwa kusimamia masuala mazima ya ukaguzi na udhibiti wa ubora wa chakula na vipodozi nchini.

Hivyo kuhatarisha afya za watanzania.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom