Upigwaji marufuku wa mini skirt na suruali kwa wanawake St Agustine niupongeze

Acheni kutetea upuuzi. huwezi kumuona mwanamke amekaa uchi eti ukafumba macho. na kwasababu hapo tayari uume ushasimama na ikitokea umemkosa huyo mwanamke basi utahamishia hasira zako kwa mwingine. kwani unazani akitoka nusu uchi au uchi kamili ndo anapendeza. hebu cheki takwimu ya wanawake walio huzuria harusi ya prince william na kate. pale utagundua kuwa nguo gani humpendeza mwanamke. na wale waliochukiza siku hiyo ni waliotoka nusu uchi. kalakabaho.
 
Huyo Kate mwenyewe unayemuongelea ulishaona picha zake na avaa vipi? suruali zake unafikiri zingevumiliwa SAUT? Na lile gauni alovaa kwenye fashion show wakatia ndio ameanza masomo St Andrew unalionaje? Basically you are talking total nonsense! Na kukuonesha ni jinsi gani unapotosha, ni nani hasa alikuwa nusu uchi kwenye harusi ya William and Kate? Gumzo imekuwa kwa Princess Eugene and Beatrice na hasa kwenye kofia zao na sio u-nusu uchi.

Kwenye red- ni nguo gani inayompendeza mwanamke? nini tafsiri ya 'kupendeza'? na ni nani anayetakuwa ku-approve kwamba mvao wa mwanamke 'umependeza? ni hawa wanaowinda wasichana vyuoni? au ni hao wanaopiga miluzi hovyo barabani kama hawa sense of self-control?

Hoja yako kwa ujumla wake naweza kuifananisha na kauli aliyowahi kutoa Rais Kikwete kwamba, wasichana wanapata mimba kwa sababu ya viherehere vyao! Nasema zinafanana kwa sababu I dont see the other partner in crime (male) in this equation.
 
FJM nakugongea thanks ya nguvu.
Umenena na umeongea la maana.
Tatizo wanaojudge kuwa mwanamke amevaa nusu uchi au hajavaa ndio hao hao partner in crime na ndio wapiga miluzi au watamanio wanawake hao na wanapowaona badala ya kufikiria mengine wanafikiria ngono tuu na wanafikiria alicho nacho mwanamke kwenye miguu yake.
Mbona wao wanawake hawatusemi wanapotuona tumevaa vikaptula vifupi na vingine vimebana mpaka mbele mchoro wa organ yetu unaonekana. Mbona wao hawatamani wanapotuona vifua wazi na matumbo yetu wazi. Je ikifikia na wao waanze kutupigia miluzi ya kutamani itakuwaje
 
Huyo Kate mwenyewe unayemuongelea ulishaona picha zake na avaa vipi? suruali zake unafikiri zingevumiliwa SAUT? Na lile gauni alovaa kwenye fashion show wakatia ndio ameanza masomo St Andrew unalionaje? Basically you are talking total nonsense! Na kukuonesha ni jinsi gani unapotosha, ni nani hasa alikuwa nusu uchi kwenye harusi ya William and Kate? Gumzo imekuwa kwa Princess Eugene and Beatrice na hasa kwenye kofia zao na sio u-nusu uchi.Kwenye red- ni nguo gani inayompendeza mwanamke? nini tafsiri ya 'kupendeza'? na ni nani anayetakuwa ku-approve kwamba mvao wa mwanamke 'umependeza? ni hawa wanaowinda wasichana vyuoni? au ni hao wanaopiga miluzi hovyo barabani kama hawa sense of self-control? Hoja yako kwa ujumla wake naweza kuifananisha na kauli aliyowahi kutoa Rais Kikwete kwamba, wasichana wanapata mimba kwa sababu ya viherehere vyao! Nasema zinafanana kwa sababu I dont see the other partner in crime (male) in this equation.
Wao pia walikuwa wamevaa vimini gauni kama uliangalia vizuri. na mf wa mm kutolea pale ni kuonyesha hata wazungu wanajua kuvaa nguo za heshima. kate aliojiunga hicho chuo alijua atakuwa princess? hapa swala ni kila binadamu amjali mwenzake na sio kuonjeshana. afu hiyo kauli ya kikwete naiunga mkono hata kama simpendi. ebo
 
Miaka kenda mkazo umekuwa ni kwa wanawake wasivae hivi wasionekane vile. Kama kweli tunataka kuondoa hiki kinachoitwa ngono zembe, ukahaba etc ni lazima tuangalie pande mbili za coin. Kwa nini mwanaume anabaka? Ni kwa sababu wanawake/wasichana wanavaa nguo fupi au suruali au ni kwa sababu mbakaji hajieshimu? Kwa nini kama mwanamke amevaa nguo fupi na unaona unashawishika usifumbe macho? why should one human being be subjected to some sort restrictions in order to accommodate weakeness of the other? Statistically nani anaweza kutupa data kwamba ngono zembe zinatokea pale msichana anapovaa nguo fupi au suruali? Saudi Arabia wanakojifunika bado kuna ubakaji tena wao una laana maana watoto wa kiume wanabaka mama zao! (nimesema watoto wa kiume wanabaka mama zao). Na skendo za mapadre na masista je? tuseme masista wanavaa vimini au suruali?

Kama kweli nguo fupi ndio chanzo hebu tuangalie kwa mfano Sweden, wasichana/wanawake tena wengi sana wanavaa vimini -vimini kweli sio hizi maxi za hapa tunazoziita vimini. mwanaume hasogei maana akimgusa anajua kiama kinafuata. Kinachonifurahisha ni kwamba hata mwanaume Mtanzania akienda huko anakuwa na mtazamo tofauti anaheshimu uhuru wa mwanamke kuvaa anachotaka, na hutamuona mtanzania huyo akibweka kama mbwa anapomwona mwana dada amevaa kimini. Lakini mtu huyo huyo akifika hapa Bongo anakuwa kama katoka kizuizini, ni miluzi kwa kila sketi inayopita mbele yake. This tells us something kwamba ukimkingia mtoto kifua huku watu wanakuambia kuwa mtoto wako anafanya makosa, na mtoto akajua kuwa unamkingia kifua kwa vijisababu unavyojua mwenyewe, basi subiri janga litokee. Sasa hivi wasichana wadogo hasa wa vyuo wanajiuza kwa sababu soko lipo, whether wanavaa vimini au mabaibui haijalishi chochote. Unless wanaume nao wabanwe mwishoni tutaishia kusema wanawake wote wavae kama telebani na bado tatizo likajitokeza!
Maumbile ni kwamba mungu alimuumba mwanaume kuwa "muwindaji" na mwanamke kuwa "muwindwa". Akamfanya mwanaume avutiwe na maungo mbali mbali ya mwanamke kama mapaja, maziwa, midomo, sauti, n.k. Kwa upande wa pili akampa mwanamke hisia za kutaka kuvutia wanaume. Ndiyo sababu wanawake wanajali sana mavazi, manukato, kujiremba pamoja na kuvutia. Msichana aliyejikwatua vizuri akiwapita wanaume ambao hawageuzi shingo kumuangalia anajisikia vibaya. Kwa mwanaume ni vigumu kukaaa na mwanamke ambaye viungo vyake viko nje nje ukawa na amani. Itabidi uondoke pale au utupe ndoana zako. Hata hao waSwidi unaowasema ni sheria tu ndizo zinawabana. Siyo kwamba hawana hisia. Hisia zao wanazimalizia kwenye madanguro na vilabu vya uchi "Streaptease Clubs'. Ndiyo sababu siku hizi kuna utalii wa ngono. Wanaume wa kizungu wanakwenda nchi za nje (hasa nchi maskini) kutafuta ngono huru badala ya zile zenye masharti na minyororo za wanawake wao. Vile vile huenda ni mojawapo ya sababu zinayowafanya wanaume wapendane na kuaoana wao kwa wao. Ni mtazamo wangu.
 
Bora wampigwa marufuku ilikuwa hatari ukifika pale chuoni kwao SAUT nyegezi, ukiwaona utadhani danguro
 
si suluhisho hilo, wafikirie mara 2. ushoga unaopigiwa kelele makanisani je chanzo ni mavazi?
 
Afadhali saut wamepiga marufuku,mavazi ya hawa wanachuo wa kike yanatia aibu,
 
Ni sehemu gani ya mwili ambayo kama haijafunikwa na nguo basi mhusika anakuwa amekaa/tembea uchi?
kwa mkristo muangalie anavyovaa sister majibu utakuwa umeyapata, na kama ni muislamu angalia vazi lililoruhusiwa kuvaliwa na mwanamke. siamini kama hujui ni viongo gani vya mwanamke vikiwa wazi vina amsha hisia za ngono!!
 
FJM nakugongea thanks ya nguvu.
Umenena na umeongea la maana.
Tatizo wanaojudge kuwa mwanamke amevaa nusu uchi au hajavaa ndio hao hao partner in crime na ndio wapiga miluzi au watamanio wanawake hao na wanapowaona badala ya kufikiria mengine wanafikiria ngono tuu na wanafikiria alicho nacho mwanamke kwenye miguu yake.
Mbona wao wanawake hawatusemi wanapotuona tumevaa vikaptula vifupi na vingine vimebana mpaka mbele mchoro wa organ yetu unaonekana. Mbona wao hawatamani wanapotuona vifua wazi na matumbo yetu wazi. Je ikifikia na wao waanze kutupigia miluzi ya kutamani itakuwaje

Mr. Rocky na mimi nakugongea ya nguvu zaidi. Hatuwahi kusikia watua wanalalamika kuhusu mavazi ya wanaume. Wanaume wengi tu wakiwemo wabunge na mawaziri utawaona wamevaa 'kaunda suti' vifua nje, huku minywele ya vifuani ikianikwa. Hivi wanawake wakilalamika kuwa nayo hiyo inawatamanisha itakuwaje?

Jana nimemwona Hillary Cliton anashuka kwenye ndege ariport kavaa suruali sijui hao wa Mwanza wana-comment zozote kuhusu huyu mama na mavazi yake?
 
Maumbile ni kwamba mungu alimuumba mwanaume kuwa "muwindaji" na mwanamke kuwa "muwindwa". Akamfanya mwanaume avutiwe na maungo mbali mbali ya mwanamke kama mapaja, maziwa, midomo, sauti, n.k. Kwa upande wa pili akampa mwanamke hisia za kutaka kuvutia wanaume. Ndiyo sababu wanawake wanajali sana mavazi, manukato, kujiremba pamoja na kuvutia. Msichana aliyejikwatua vizuri akiwapita wanaume ambao hawageuzi shingo kumuangalia anajisikia vibaya. Kwa mwanaume ni vigumu kukaaa na mwanamke ambaye viungo vyake viko nje nje ukawa na amani. Itabidi uondoke pale au utupe ndoana zako. Hata hao waSwidi unaowasema ni sheria tu ndizo zinawabana. Siyo kwamba hawana hisia. Hisia zao wanazimalizia kwenye madanguro na vilabu vya uchi "Streaptease Clubs'. Ndiyo sababu siku hizi kuna utalii wa ngono. Wanaume wa kizungu wanakwenda nchi za nje (hasa nchi maskini) kutafuta ngono huru badala ya zile zenye masharti na minyororo za wanawake wao. Vile vile huenda ni mojawapo ya sababu zinayowafanya wanaume wapendane na kuaoana wao kwa wao. Ni mtazamo wangu.

Natofautiana na wewe kwamba mwanamke ni muwindwa na mwanaume ni muwinda! Nikuulize, wanawake wana hisia? mwanamke anaweza kumtamani mwanaume? na ni vitu gani vinaweza kumtamanisha mwanamke? Kwa nini hatuoni kuwa hili tatizo lina pande mbili? Na kama umesoma hoja yangu vizuri nimeeleza hata nchi ambazo wanawake wanajifunika i.e Saudi Arabia haya matatizo yapo?

Nchi nyingine wamekuwa realistic kwa kuweka sheria. Kumbuka sheria kwenye jambo lolote zinatukumbusha what's right and what's wrong. Kubaka ni kosa- period. na kwa mwanaume anayejiheshimu akimpenda mwanamke basi atamfuata na kuongea na kama wataingia kwenye mahusiano basi yanakuwa ni makubaliano ya wawili hao. Lakini miluzi na fikra za ngono kwa kila sketi inayokatiza mbele ya macho ni udhaifu na naweza kusema it is very un-civilised. Hakuna kitu kinaniudhi kama wakati unatembea barabarani na mtoto au ndugu yako wa kike mnapita sehemu ambayo wake vijana wengi ghafla unaanza kusikia miluzi, mara 'binti mzuri hajambo?! Au ndio uwindaji na uwindwaji wenyewe? Aibu!
 
ni hatua nzuri .. hii sheria iwekwe hadi maofisini.... na nyie wenzetu wa upande wa pili katika iman mjitahidi mnapokwenda kanisani mjistiri pia
 
Ukiona hizi kelele basi ujue kweli dawa imefika kwenye mufuupa na kama ningelikuwa nacomment dawa ya kutibu ugonjwa sugu,hii ni kiboko maana mpaka wadudu kwenye kidonda unaona kabisa wanahaha,wanaomba msaada,wanalalamika,wanatapatapa

kama ni sumu utamwona panya anahaha kutafuta maji ya kunywa....kweli SAUTI wamegundua sumu ya wadudu,wadudu wa zinaa,wadudu hatari kwa binadamu.
 
Back
Top Bottom