Upigaji wa kura Bungeni

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,925
Naona Bunge letu bado wanatumia system ya kupiga kura kwa karatasi. Kwa ufanisi zaidi ingefaa kama wangeanzisha system ya electronic voting ambapo kila mbunge anapiga kura kwa kubonyeza button.
 
Back
Top Bottom