Upi wimbo safi zaidi wa maombolezo, Nenda Ruge wa Mrisho mpoto Vs Tutaonana tena wa Gudluck Gozbert

Mnyenz

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
1,326
2,000
"Mauti yamevikwa taji dhidi ya dua... unaenda ukiwa shujaaa"
Nenda salama Ruge, Nenda salama salama.
Huu ndio wimbo wangu bora ukifatiwa na tutaonana wa Gudluck...
Huu wimbo wa Mpoto na THT unavutia sana kusikiliza na una vuta usikivu sana..
Huuu wimbo umeandaliwa vyema ...Mpoto ni fundi... bila kuwasahau walio imba chorus wakiongozwa na Nuruel....

Kwanza katika huu wimbo mie nimependa Chorus tu, halafu Nuruelly anaimba jamani
Ujue pale linaimba kundi la watu ila sauti yake ndo inasikila bila shida
Jamaa anaimba jamani, narudia tena Nuruelly anaimba jamani
Anaebisha anijibu hapa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

James Comey

JF-Expert Member
May 14, 2017
5,909
2,000
Mpito sijui mpoto katembea na style ya wale jamaa walioimba kwa mwal. Nyerere ndiyo maana hapo juu Shark akarejea ile nyimbo ya nenda mwalimu kwa sababu inafanana sana lakini haijafikia ile ya mwal.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom