Upi ukweli wa hali ya Tanzania kifedha?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
3,243
4,379
Habari waungwana!!

Kwa kweli hali ya uchumi umedorora nchi rejea machapisho mbalimbali magazetini,tanzania tumeporomoka kwa kasi katika mauzo ya nje,utalii n k

Kutokana na halii hii mtaani hapaeleweki pesa imekuwa ngumu wananchi kazi yetu kuangalia muvi zinazochezwa na viongozi wetu,kiukweli tumefika pabaya sana wafanyakazi baadhi ya taasisi wanapunguzwa serikali bado inasita kuajiri kuna lipi tatizo huko au ujenze wa reli na bomba la mafuta ndo limekwamisha ajira zetu?

Hivi kama magufuli amezuia pesa kwani hatuoni wananchi wake tunavohangaika,katutuekea pemb masikioni fungueni milango ya ajira kwa wote.

Mbali na hapo hali itazidi kuwa tete mpaka tutachukia uwepo wako hapo ulipo.
 
Back
Top Bottom