Upi ukomavu; Kubomoa au kuacha?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,908
2,889
najaribu kutafakari ni kipi kitakua kielelezo cha uongozi thabiti kuendelea na bomoabomoa kwa mujibu wa sheria au kusitisha kwa shinikizo la wanachi
 
dah swali zuri sana ngoja tusubiri tuone hii movie japo nimeanza kuwa na mashaka na hii slogan ha hapa kazi tu naona kama kuna udhaifu. Manake kabla hujaweka x lazma uwe umejiridhisha kuwa patabomolewa sa panapowekwa pingamizi tena mh
 
Back
Top Bottom