Upi ni umri sahihi wa kula bata (kufurahia maisha)

Tangu miaka 0 hadi kifo ni wakati wa kula bata kamwe usisubiri. Tena ukiona siku imepita bila kula bata ujue utajibu mbele ya Mungu kwanini umepoteza siku aliyokupa.

Mungu mwenyewe alikula bata siku moja tu kwa wiki, wewe ni nani ule kila siku!
 
Muda wowote unapopata pesa, ila usisahahu ule usemi

'kila mbuzi na ale kwenye urefu wa kamba yake'

Thank me later.
 
Skia nikwambie
Maisha ndio haya haya Shehe wangu. Usijinyime kupita kiasi ukisema utafurahia maisha baadae ukishafanikiwa. Awali hujui utaishi miaka mingapi ., isitoshe kila hatua ya maisha ina starehe na raha zake ukizipita hutazirudia
 
Umeongea vizuri sana, hakuna umri katika maisha ya mwanadamu unaoitwa umri wa kula bata, kila umri una bata na mpambano kulingana na matarajio yako
 
Ukiwa kijana barubaru utaambiwa "kijana usikimbilie maisha utayakuta huko mbeleni".

Ukipata makamo hapo ujanani utaambiwa "kijana tafuta maisha kwanza, fainali uzeeni".

Ukizeeka halafu unajaribu kukimbizana na nyakati utasikia "mzee wakati wako umepita".

Wakuu, upi sasa ni umri sahihi kufurahia maisha?
Mitihani ya form six imeisha??
 
UKisha maliza umri wa kula kiti moto na kuku, basi anza mara moja kula bata!
 
Back
Top Bottom