Upi ni ukweli kuhusu pombe kuponya watu wanaosumbuliwa na minyoo?

successiful dreamer

Senior Member
Sep 10, 2019
103
189
Wanajamvi natumaini wote mu wazima wa afya Mwenyezi Mungu katujalia kuiona siku njema ya leo.

Niende moja kwa moja kwenye lengo la kuja kwenu.Kipindi cha nyuma nikiwa bado mdogo nilikua nikisiakia habari nyingi kuhusu pombe.Wapo waliosimulia kua mlevi hadhuriwi na wanga na nyingine nyingi za kusisimua,zenye mazuri na mabaya yake mengi tu.

Sasa kuna watu wengine walienda mbali na kuihusisha pombe na tiba ya magonjwa ya tumbo hasa minyoo.Naomba mnisaidie kuhusu hii hoja je ni kweli pombe inatibu minyoo?Je kama ni kweli ni aina gani inafaa katika matibabu na kwa nini uipendekeze hiyo aina?

Asanteni wakuu nawatakia siku njema sana na ustahimilivu mkubwa katika hiki kipindi kilichojaa matatizo lukuki kuanzia Uviko 19 na tozo za miamala.
 
Huku kwetu pombe tumefanya kinywaji mda maalumu.

Kwa china hakuna msosi wowote bila kusukimizia na pombe kali,mvinyo, au bia.

Uwezi kusikia tumbo kusumbua hata siku moja
 
Kabla ya kusoma huu uzi naomba wanaosumbuliwa na minyoo waende kwa daktari. Ukiandikiwa pombe POA!
 
No
Wanajamvi natumaini wote mu wazima wa afya Mwenyezi Mungu katujalia kuiona siku njema ya leo.

Niende moja kwa moja kwenye lengo la kuja kwenu.Kipindi cha nyuma nikiwa bado mdogo nilikua nikisiakia habari nyingi kuhusu pombe.Wapo waliosimulia kua mlevi hadhuriwi na wanga na nyingine nyingi za kusisimua,zenye mazuri na mabaya yake mengi tu.

Sasa kuna watu wengine walienda mbali na kuihusisha pombe na tiba ya magonjwa ya tumbo hasa minyoo.Naomba mnisaidie kuhusu hii hoja je ni kweli pombe inatibu minyoo?Je kama ni kweli ni aina gani inafaa katika matibabu na kwa nini uipendekeze hiyo aina?

Asanteni wakuu nawatakia siku njema sana na ustahimilivu mkubwa katika hiki kipindi kilichojaa matatizo lukuki kuanzia Uviko 19 na tozo za miamala.
No it doesn't
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom