Upi ni ukweli kuhusu faida au hasara za matumizi ya kahawa kiafya?

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau
Kinywaji cha Kahawa kimefanyiwa tafiti nyingi hususani matokeo yake kwa afya ya binadamu

1.Tafiti za awali kabisa zimehusisha kahawa na kuongezeka kwa maradhi ya moyo.

2. Tafiti za karibuni zimetoa matokeo kuwa kahawa inachangia kuondoa maradhi ya moyo.

Hata kwa upande wa kidini kwa mfano mafundisho ya Wasabato kupitia vitabu vya Hellen G. White navyo pia bado vinaeleza kuwa kahawa ina madhara makubwa kiafya mbali ya kuwa haikubaliki kwa mujibu wa imani ya Kisabato.

Naomba wadau tupeane maarifa kuhusu tafiti hizo na hasa kujua upi ndio ukweli halisi.

Aksanteni
 
Back
Top Bottom