Upi ni Ukweli halisi kuhusu kukua kwa uchumi wa Tanzania

1. Sijawahi kusikia makusanyo ya kodi TRA Kwa takribani miaka miwili sasa kama yameongezeka zaidi ya ile 1.2tr ya mwanzoni mwa mwaka 2016 na huenda sasa yakawa yameshuka kwani hatuambiwi tena. kama ni kweli yamebaki palepale au yameshuka uchumi unakuaje?
upload_2018-3-12_15-20-48.png

2. Tumezuia usafirishaji wa madini plus makinikia kwa muda wa takribani mwaka mmoja, hii inatupa mwanga kuwa tumekosa fedha za kigeni ambazo tungezipata kwa muda huu na kuongeza pato la taifa na hivyo kukua kwa uchumi na hatujaambiwa kuna vyanzo mbadala vime re-place madini. swali uchumi umekuzwa na nini?
upload_2018-3-12_15-24-19.png

3. Kumekuwa na ufungwaji wa biashara anuai kwa kipindi cha miaka miwili mfululizo ambazo tulitegemea zingeajiri si tu mfanyabiashara mwenewe bali hata watu wawili ama watatu na hivyo kupata kipato cha mtu mmoja mmoja na pia serikali kukusanya mapato kutokana na kodi ya biashara hiyo ambayo pia ingepelekea TRA kuongeza makusanyo kwa mwezi. najiuliza uchumi unakuwa kwa namna gani?

Rudia data za TRA nilizokupa, utapata jibu.
3. Benki nyingi zimetangaza kupata hasara mf. CRDB (hasara 2billions) kutokana na urejeshwaji mbovu wa madeni ya wakopaji kiasi kwamba imepelekea baadhi ya benki kufungwa. kutangaza hasara maana yake ni kushindwa kulipa corporate tax ambayo kwayo serikali ingekusanya kwa mwaka na kukuza pato la taifa. najiuliza uchumiumekuzwa na nini.

upload_2018-3-12_15-31-39.png

5. Mwaka jana kumetokea janga la ukame na hivyo kupelekea wakulima na wafugaji wengi kukosa uzalishaji wa mazao ya mimea na mifugo ambayo yangeuzwa na kupatakipato. sasa pato la taifa limekuwaje?
upload_2018-3-12_15-35-15.png

Mbona bei za vyakula zipo stable?
6. Mzunguko wa fedha umekuwa mdogo kiasi watu kushindwa kuwekeza katika biashara na miradi ya muda mrefu kwa kukosa mitaji mf. ujenzi wa nyuma na hotel umpungua kwa kiasi kikubwa. je tunapataje ujasiri wa kusema uchumi unakua?
upload_2018-3-12_15-36-43.png

Unapozungumzia haya mambo, lete data.
 
Athubutu aone cha mtema kuni kilichomtoa Kamga manyoya. Maaskofu si MAZWAZWA ndiyo sababu wakakutana kufanya mkutano kwa wingi wao ili kuona kama maovu, udhalimu na dhuluma vinavyondelea nchini wote wanaviona. Na walipokubaliana wakaamua kutoa kauli moja ya kumuonya dhalimu aliyejaa dhuluma kwamba anakoipeleka nchi SIKO KABISA.

kwa hiyo wajiandae kushughulikiwa.
 
Athubutu aone cha mtema kuni kilichomtoa Kamga manyoya. Maaskofu si MAZWAZWA ndiyo sababu wakakutana kufanya mkutano kwa wingi wao ili kuona kama maovu, udhalimu na dhuluma vinavyondelea nchini wote wanaviona. Na walipokubaliana wakaamua kutoa kauli moja ya kumuonya dhalimu aliyejaa dhuluma kwamba anakoipeleka nchi SIKO KABISA.
We kijana umejaa chuki kubwa sana dhidi ya utawala wa Magufuli, nakuambia chuki zako na washenzi wenzio hazitawasaidieni, Magu in rais hadi 2025, ikulu mtaisikia tu
 
View attachment 712854

View attachment 712859

Rudia data za TRA nilizokupa, utapata jibu.

View attachment 712866

View attachment 712872
Mbona bei za vyakula zipo stable?

View attachment 712873

Unapozungumzia haya mambo, lete data.
kama umefuatilia hoja zangu utagundua kwamba sijasema kwamba data hazipo...ninachosema na kukihofia ni usahihi wa data zenyewe ambazo kimsingi uhalisia wake hauonekani..refer hitimisho langu. giving us statistical data does not mean you are true. the data you are giving are those made by man whom I hesitate trusting.
 
Sijaona sehemu uliyosema data hazipo. Kwa mfano,
1. Ulisema hujaona data za TRA zinazoonyesha walipata au kuvuka 1.2trillion tangu 2016 na nanukuu chini;
1. Sijawahi kusikia makusanyo ya kodi TRA Kwa takribani miaka miwili sasa kama yameongezeka zaidi ya ile 1.2tr ya mwanzoni mwa mwaka 2016 na huenda sasa yakawa yameshuka kwani hatuambiwi tena. kama ni kweli yamebaki palepale au yameshuka uchumi unakuaje?
Hapo hujabisha uhalisia, ulisema hujaona na nikakuonyesha. Sasa unaamini?

2. Ulisema CRDB walipata hasara ya 2billions na nikakuonyesha kuwa hawakupata hasara. Ninakunukuu chini

3. Benki nyingi zimetangaza kupata hasara mf. CRDB (hasara 2billions) kutokana na urejeshwaji mbovu wa madeni ya wakopaji kiasi kwamba imepelekea baadhi ya benki kufungwa. kutangaza hasara maana yake ni kushindwa kulipa corporate tax ambayo kwayo serikali ingekusanya kwa mwaka na kukuza pato la taifa. najiuliza uchumiumekuzwa na nini.

Mkuu na mengine mengi tu nimekuonyesha data zake ingawa wewe ulikuwa na data zako ulizozitoa magengeni. Usihamishe magoli mkuu.
 
Back
Top Bottom