mdudu mpya
Member
- Feb 28, 2018
- 30
- 31
Safari hii wameshikwa pabaya kila mwenye ufahamu na critical thinking sizani kama anaweza unga mkono kinacho endeleayani ukisema ukweli lazima watu wanaweuka sijui ni kwa nini
Safari hii wameshikwa pabaya kila mwenye ufahamu na critical thinking sizani kama anaweza unga mkono kinacho endeleayani ukisema ukweli lazima watu wanaweuka sijui ni kwa nini
Mie sijui tunakoelekea. Namtegemea Dada Mange aniongoze. Sisi Wapinzani tumeshapoteza Dira na Maono tumebaki tunadandia dandia Hoja na Matukio.
si dalili nzuri, hasa asiyejua akajua ukweli. ila tatizo wa tz ni wepesi kusahau mkuuSafari hii wameshikwa pabaya kila mwenye ufahamu na critical thinking sizani kama anaweza unga mkono kinacho endelea
kwa hiyo wajiandae kushughulikiwa.Wapinzani wengine hawa hapa. Nadhani uliwahi kusikia haya kabla ya huu waraka wao na waliyoyasema haya ni wapinzani.
WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini
1. Sijawahi kusikia makusanyo ya kodi TRA Kwa takribani miaka miwili sasa kama yameongezeka zaidi ya ile 1.2tr ya mwanzoni mwa mwaka 2016 na huenda sasa yakawa yameshuka kwani hatuambiwi tena. kama ni kweli yamebaki palepale au yameshuka uchumi unakuaje?
2. Tumezuia usafirishaji wa madini plus makinikia kwa muda wa takribani mwaka mmoja, hii inatupa mwanga kuwa tumekosa fedha za kigeni ambazo tungezipata kwa muda huu na kuongeza pato la taifa na hivyo kukua kwa uchumi na hatujaambiwa kuna vyanzo mbadala vime re-place madini. swali uchumi umekuzwa na nini?
3. Kumekuwa na ufungwaji wa biashara anuai kwa kipindi cha miaka miwili mfululizo ambazo tulitegemea zingeajiri si tu mfanyabiashara mwenewe bali hata watu wawili ama watatu na hivyo kupata kipato cha mtu mmoja mmoja na pia serikali kukusanya mapato kutokana na kodi ya biashara hiyo ambayo pia ingepelekea TRA kuongeza makusanyo kwa mwezi. najiuliza uchumi unakuwa kwa namna gani?
3. Benki nyingi zimetangaza kupata hasara mf. CRDB (hasara 2billions) kutokana na urejeshwaji mbovu wa madeni ya wakopaji kiasi kwamba imepelekea baadhi ya benki kufungwa. kutangaza hasara maana yake ni kushindwa kulipa corporate tax ambayo kwayo serikali ingekusanya kwa mwaka na kukuza pato la taifa. najiuliza uchumiumekuzwa na nini.
5. Mwaka jana kumetokea janga la ukame na hivyo kupelekea wakulima na wafugaji wengi kukosa uzalishaji wa mazao ya mimea na mifugo ambayo yangeuzwa na kupatakipato. sasa pato la taifa limekuwaje?
6. Mzunguko wa fedha umekuwa mdogo kiasi watu kushindwa kuwekeza katika biashara na miradi ya muda mrefu kwa kukosa mitaji mf. ujenzi wa nyuma na hotel umpungua kwa kiasi kikubwa. je tunapataje ujasiri wa kusema uchumi unakua?
kwa hiyo wajiandae kushughulikiwa.
We kijana umejaa chuki kubwa sana dhidi ya utawala wa Magufuli, nakuambia chuki zako na washenzi wenzio hazitawasaidieni, Magu in rais hadi 2025, ikulu mtaisikia tuAthubutu aone cha mtema kuni kilichomtoa Kamga manyoya. Maaskofu si MAZWAZWA ndiyo sababu wakakutana kufanya mkutano kwa wingi wao ili kuona kama maovu, udhalimu na dhuluma vinavyondelea nchini wote wanaviona. Na walipokubaliana wakaamua kutoa kauli moja ya kumuonya dhalimu aliyejaa dhuluma kwamba anakoipeleka nchi SIKO KABISA.
"You can not fool all people all the time"si dalili nzuri, hasa asiyejua akajua ukweli. ila tatizo wa tz ni wepesi kusahau mkuu
Watu wanakula sana kongoro badala ya supu ya nyama ya kawaida.....Nyama buchani haziuziki siku hizi
Acha ujinga wako ZWAZWA katiba inamruhusu Mtanzania kuikosoa Serikali na waliomo ndani ya Serikali. Wapumbavu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa. Wengine waliojaa chuki dhidi ya huyo dhalimu DU hawa hapa. Mpuuzi kweli wewe!!!
WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini
kama umefuatilia hoja zangu utagundua kwamba sijasema kwamba data hazipo...ninachosema na kukihofia ni usahihi wa data zenyewe ambazo kimsingi uhalisia wake hauonekani..refer hitimisho langu. giving us statistical data does not mean you are true. the data you are giving are those made by man whom I hesitate trusting.View attachment 712854
View attachment 712859
Rudia data za TRA nilizokupa, utapata jibu.
View attachment 712866
View attachment 712872
Mbona bei za vyakula zipo stable?
View attachment 712873
Unapozungumzia haya mambo, lete data.
Sijaona sehemu uliyosema data hazipo. Kwa mfano,kama umefuatilia hoja zangu utagundua kwamba sijasema kwamba data hazipo...ninachosema na kukihofia ni usahihi wa data zenyewe ambazo kimsingi uhalisia wake hauonekani..refer hitimisho langu. giving us statistical data does not mean you are true. the data you are giving are those made by man whom I hesitate trusting.
Hapo hujabisha uhalisia, ulisema hujaona na nikakuonyesha. Sasa unaamini?1. Sijawahi kusikia makusanyo ya kodi TRA Kwa takribani miaka miwili sasa kama yameongezeka zaidi ya ile 1.2tr ya mwanzoni mwa mwaka 2016 na huenda sasa yakawa yameshuka kwani hatuambiwi tena. kama ni kweli yamebaki palepale au yameshuka uchumi unakuaje?
3. Benki nyingi zimetangaza kupata hasara mf. CRDB (hasara 2billions) kutokana na urejeshwaji mbovu wa madeni ya wakopaji kiasi kwamba imepelekea baadhi ya benki kufungwa. kutangaza hasara maana yake ni kushindwa kulipa corporate tax ambayo kwayo serikali ingekusanya kwa mwaka na kukuza pato la taifa. najiuliza uchumiumekuzwa na nini.