Upi ni uchaguzi wa maana kati ya hizi course?

sir kiduku

Member
Oct 12, 2019
86
213
Salaam wana JF, natumai mu wazima..

Bila ya kupoteza muda ngoja niende moja kwa moja kwenye topic. Naombeni ushauri ni course gani nzuri ya kusoma kati ya hizi.

1.Auto-electronics & Electronics Engineering
2.Biomedical Equipment Engineering
3.Mechanical Engineering

Ipi ni nzuri hapo wakuu ambayo inaweza ikafiti katika kipindi hichi kigumu cha ajira?

NB: Zote ni katika ngazi ya Diploma. Karibuni wakuu kwa ushauri wenu.
 
Back
Top Bottom