Upi ni muda sahihi wa kutoka Lodge/Guest?

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,209
39,031
Wanajukwaa salama salmini?

Nani swali hapa, hivi ukiingia saa kumi na moja asubuhi Lodge unatakiwa utoke saa ngapi?
 
Swalama...Kheri ipo kwanza yakhe?
Subiri jua lizame tu sheikh hamna namna
 
inategemea na sheria za lodge uliypo mkuu kuna zingine ukimlinda vyema mhudumu unatulia zako tu
 
iliwahi nitokea hiyo nilikuwa na safari nikaingia destination saa kumi na mbili kasoro nikachukua room niliwakazia so siku ikaanza hapo hadi kesho saa 4 asubuhi
 
Back
Top Bottom