Upi ni Mfuko bora wa hifadhi ya Jamii?

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
Wadau kuna mtu hapa kaniomba ushauri yeye ni ajira mpya hizi za sasa anahitaji nimoe ushauri wa vitu viwili.

1. Benki nzuri ya kufungua akaunti kwa ajiri ya mshahara

2. Mfuko bora wa hifadhi za jamii wa kujiunga nao.

Karibuni kwa mawazo yenu
 
Bank bora kwa sasa ni CRDB pia kwa mfuko uliobora kuliko mingine aingie LAPF .... NB. Huu ni ushauri tu pia yeye mwenyew anaweza tembelea tovuti ya SSRA ( huyu ni regulator) wa mifuko ya hifadh ya jamii pamoja na LAPF pia ajitahid kupitia bank performanc report toka BoT pamoja na bank husika then mwisho wa siku ataconclude kwa upande wake
 
Wadau kuna mtu hapa kaniomba ushauri yeye ni ajira mpya hizi za sasa anahitaji nimoe ushauri wa vitu viwili.

1. Benki nzuri ya kufungua akaunti kwa ajiri ya mshahara

2. Mfuko bora wa hifadhi za jamii wa kujiunga nao.

Karibuni kwa mawazo yenu

Aombe msaada kwa watu wake wa HR wampe details zaidi kuhusu mufuko ya hifadhi ya jamii sababu ipo inayotoa mikopo ya masomo kama PSPF na ipo inayotoa mikopo ya nyumba..kuhusu bank aangalie bank zenye branch nyingi na ATM Tanzania nzima kama nmb/crdb na zile ambazo ni convenient kupata mkopo wenye riba nafuu..
 
Back
Top Bottom