Upi mbadala wa CCM? Je, nini sahihi kuiondoa kama Chama Tawala?

RIZIKI ALLYS MUHUNZI

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
634
751
Habari wanajamii wenzangu kwanza kabisa nishukuru M/MUNGU kwa kunipa afya njema.

Nikiwa mtanzania mzarendo najiuliza maswali mengi sana ambayo yananipa majibu hasi juu ya kuiondoa CCM madarakani kama watu wengi mitandaoni wanavyoinasibisha kwa kuikejeri na kutamani mabadiliko,kwangu nayapenda mabadiliko lakini najiuliza haya mabadiliko ninayoyahitaji ni nina hatayaleta au kufanya vile nitamanivyo?

Nikitazama vyama vya upinzani niseme tu ukweli bado hakuna chama chenye sifa kukishinda CCM ,vyama vya upinzani vya hapa nchini vinakimbia kabla avijatambaa,vinatafuna kabla avijaota meno,matokeo Yake vinajikuna vinapambana vyenyew kwa wenyewe, CCM ni chama imara chenye democracy ndani yake chenye muundo wa kijamii tofauti na vyama ambavyo vinaomba dhamana ya kutuongoza uku vikiwa avina sifa muhimu ya kujiendesha vyenyewe,sasa inawezekana atuitaki CCM kweli lakini je kama atuitaki ccm ni chama kipi kitatufaa kuweza kuongoza taifa ili TZ...

JE, NI CHADEMA?chama ambacho akijaweza kujisimamia hata kwa kujenga ofisi imara za chama na za kisasa kama ilivyo CCM,chama ambacho sifa ya ukabila na udikteta, JE ni ACT wazalendo, chama kichanga na chenye viongozi butu wenye taswira ya udikteta ndani yao,wenye kupenda kuvuruga mambo pasipo tafakuli ya kina viongozi wachumia matumbo yao binafsi na si watetezi wa TZ,nafikiri bado tunaitaji muda wa kuyachambua haya kabla atujaingia ktk mkumbo wa kukibeza CCM,ni kweli chadema inaweza kuongoza taifa ili,tukafikia tunapotaka wkt wao wenyewe wanashindwa kujiongoza? Au ACT hawa viongozi wao wakipewa kipande cha nyama wanatulia tuli...

Kwangu binafsi natamani sana mabadiliko ya kijamii, kiuchumi, na democray,Lakini sijaona bado chama chenye sifa kukidhidi CCM, najua CCM wanaweza wasifanye kwa usahihi lkn kwa kulinganisha na ivi vyama tajwa hapo bora ya CCM mara 1000 kuliko hawa ushauri wangu ni vyema kutafakuli kabla ya kufuata mkumbo ili yasitukute ya walbya au ya wana israeli waliotaka kujipikia wenyewe na kubeza kazi ya mungu.

Wasalaam samahani kwa Muandiko mbaya nafikili mtanielewa.
 
Chama sio nchi,nchi ni katiba yeyeto tu hata asiye na chama anayo haki sawa kuongoza.Vyama ufa nchi haifi
 
Kumuondoa Dr Slaa kwa figisu ya vipande vya fedha, Mbowe na genge lake dhambi hiyo itawatafuna maisha yao yote hadi kizazi chao cha mia,maana yake milele!

Laana ya sura ya kifo cha mende ishawaingia, wanayo.

Chama kinazidi tu kukonda kila uchao sasa chama gani cha hivi!

Chama Cdm kilikuwa kitamu sana kabla ya uchaguzi mkuu '15.

Lakini sasa hovyo kabisa... nikiendelea kuandika, jaziba inanisonga ptuh!
 
Umeandika upupu mwingi sana ila ngoja nikujibu hapa ptu, CCM haijawahi kujenga ofisi zaidi ya kupora majengo yaliyokuepo kabla ya mfumo wa Vyama vingi. Ilitakiwa majengo yote yarudi serikalini na CCM nao waanze upya kwahio usiropoke
Wewe ndio hujui kitu majengo yamejengwa na tanu,baada ya kuungana tanu na asp ikazaliwa CCM kilichofanyika Ni kuyabadilisha rangi tu na kujenga ofisi nyengine mpya kila mkoa/wilaya/kata/kijiji/tarafa,
 
Hakuna laana,ni porojo tu za binadamu.

Back
Top Bottom