RIZIKI ALLYS MUHUNZI
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 634
- 751
Habari wanajamii wenzangu kwanza kabisa nishukuru M/MUNGU kwa kunipa afya njema.
Nikiwa mtanzania mzarendo najiuliza maswali mengi sana ambayo yananipa majibu hasi juu ya kuiondoa CCM madarakani kama watu wengi mitandaoni wanavyoinasibisha kwa kuikejeri na kutamani mabadiliko,kwangu nayapenda mabadiliko lakini najiuliza haya mabadiliko ninayoyahitaji ni nina hatayaleta au kufanya vile nitamanivyo?
Nikitazama vyama vya upinzani niseme tu ukweli bado hakuna chama chenye sifa kukishinda CCM ,vyama vya upinzani vya hapa nchini vinakimbia kabla avijatambaa,vinatafuna kabla avijaota meno,matokeo Yake vinajikuna vinapambana vyenyew kwa wenyewe, CCM ni chama imara chenye democracy ndani yake chenye muundo wa kijamii tofauti na vyama ambavyo vinaomba dhamana ya kutuongoza uku vikiwa avina sifa muhimu ya kujiendesha vyenyewe,sasa inawezekana atuitaki CCM kweli lakini je kama atuitaki ccm ni chama kipi kitatufaa kuweza kuongoza taifa ili TZ...
JE, NI CHADEMA?chama ambacho akijaweza kujisimamia hata kwa kujenga ofisi imara za chama na za kisasa kama ilivyo CCM,chama ambacho sifa ya ukabila na udikteta, JE ni ACT wazalendo, chama kichanga na chenye viongozi butu wenye taswira ya udikteta ndani yao,wenye kupenda kuvuruga mambo pasipo tafakuli ya kina viongozi wachumia matumbo yao binafsi na si watetezi wa TZ,nafikiri bado tunaitaji muda wa kuyachambua haya kabla atujaingia ktk mkumbo wa kukibeza CCM,ni kweli chadema inaweza kuongoza taifa ili,tukafikia tunapotaka wkt wao wenyewe wanashindwa kujiongoza? Au ACT hawa viongozi wao wakipewa kipande cha nyama wanatulia tuli...
Kwangu binafsi natamani sana mabadiliko ya kijamii, kiuchumi, na democray,Lakini sijaona bado chama chenye sifa kukidhidi CCM, najua CCM wanaweza wasifanye kwa usahihi lkn kwa kulinganisha na ivi vyama tajwa hapo bora ya CCM mara 1000 kuliko hawa ushauri wangu ni vyema kutafakuli kabla ya kufuata mkumbo ili yasitukute ya walbya au ya wana israeli waliotaka kujipikia wenyewe na kubeza kazi ya mungu.
Wasalaam samahani kwa Muandiko mbaya nafikili mtanielewa.