Upgrading Samsung Galaxy J2 kutoka Lollipop

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
Habari wadau, natumia samsung galaxy J2 Duos, hii simu ni nzuri saana na nnaipenda , tatizo limekuja hapa.

Hii simu ipo na Opearating System Lollipop 5.1.1 nahitaji japo kui-upgrade kidogo kwenda Version ya juu.

Nikienda kwnye kupdate naambiwa phone update is available na nna-download kabisa na kufuata procedures zote za kuinstall, ila ikimaliza kuinstall simu inarestart kama kawaida inamalizia Installation as normal but simu ikiwaka naikuta kwenye Version hiyo hiyo ya Lolipop. Nimefanya zaidi ya mara tano na kila ikimaliza installation nikienda kwenye Kipengele cha kuangalia Update na pia Update available Inanipa Option ya ku-download.

Naomba muongozo ni nini naweza kufanya.

JF HATUSHINDWI.
 
hicho ulichofanya ni kuupdate software
na wewe unachotaka ni ku upgrade android version kutoka 5.1 lolipop kwenda 6.0 mashallow
 
hicho ulichofanya ni kuupdate software
na wewe unachotaka ni ku upgrade android version kutoka 5.1 lolipop kwenda 6.0 mashallow
Yes tusaidie kwnye hili captain. Nafanyaje ili niupdate kwenda 6.0mashallow
 
Kwanza kabisa tofauti katika hizo namba Android V.5 kwenda 6.+

Kipi unahisi utakipata kwenye Marshmallow ambacho kwenye hiyo Lollipop hukipati?
 
Jaribu kutembelea hii channel kwenye youtube inaitwa android guy utaweza hata kui upgrade kwenda android v 7.0 nougat
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom